'TANAPA': Yule Mnyama aliyefanya maangamizi makubwa Mwadui, sasa anaelekea Stand ya Shinyanga

'TANAPA': Yule Mnyama aliyefanya maangamizi makubwa Mwadui, sasa anaelekea Stand ya Shinyanga

endelea kujifariji....
mnyama anaendelea kutafuna yeyote anayepita mbele yake...!!
Zungumza haya baada ya mechi ya mwisho wa msimu. Hata hivyo si vibaya mkachukua ubingwa msimu huu. Sisi tumeshauchoka. Msije kusema kuwa tuna Ubia na Voda
 
Jana magoli ya Mbeya City faulo zote mbili zilisababishwa na Kessy. Just food for thought.Seeing a pattern?
 
Sawa hiyo GD kamzidi Mangapi? Simba ana 22 yanga 21 tofauti ya kagoli kamoja ndio mnapiga kelele hivi?

Kweli Rage hakukosea kuwapa lile jina

Usiwe Siku Zote Unabakia Kuwa ¼! Sisi Tunajivunia Kuwa Na Points 35 dhidi ya 27 zenu! Wala Hatuangalii hilo GD 1 tulilowazidi...
Hivi Tusipopiga Kelele Kwa Kuwaburuza Kwa Points 8 clear unataka tufanyeje???
 
Usiwe Siku Zote Unabakia Kuwa ¼! Sisi Tunajivunia Kuwa Na Points 35 dhidi ya 27 zenu! Wala Hatuangalii hilo GD 1 tulilowazidi...
Hivi Tusipopiga Kelele Kwa Kuwaburuza Kwa Points 8 clear unataka tufanyeje???
Mbona unabadili mada. Kuna mtu au katika post zangu umeona kuna sehemu nimezungumzia points. Au hujui hata ulichoquote ni nini? Next tym jaribu kufuatilia mtiririko wa post then ndio uje kupost huu utumbo wako.

Post niliyoi quote mimi mtoa post alisema kuwa GD ndio kipimo cha ubora wa timu. Sasa sijui inahusiana na nini na hiki ulichopost. Anyway acha nikupotezee tuu. Unaweza kuta nabishana na mtu anayejifanya anaujua mchezo wa mpira wa miguu kumbe ni mtaalam wa netball
 
washambuliaji imara bila beki imara huwezi shinda mechi. beki imara na washambuliaji imara huleta ubingwa
 
Unaweza kuta nabishana na mtu anayejifanya anaujua mchezo wa mpira wa miguu kumbe ni mtaalam wa netball


Nadhani Wataalamu wa Netball Katika Hii ligi Wanafahamika Kwani Ndiyo Mahodari Wa Kufungia Mikono.. Hapo Naona Unajitekenya Ukijicheka Mwenyewe...
 
Tangia wafungwe wamegoma kabisa kuanzisha mada mpya
 
sembo ntazizungusha hizi nyuzi mpaka utoke hadharani utoe tamko
 
Back
Top Bottom