Tanasha awekwa karantini kilazima

Tanasha awekwa karantini kilazima

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
1586872576087.png

Mwanamuziki Tanasha Donna amewekwa Karantini kilazima baada ya kukiuka agizo la Serikali la kubaki ndani kwa muda huu wa tishio la CoronaVirus

Tanasha, aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond Platnumz aliweka video mtandao akiwa kwenye tafrija fupi ya siku ya kuzaliwa ya Tim Matiba, siku ya Ijumaa kuu

Atakuwa karantini kwa siku 14 kwa gharama zake na atashtakiwa kwa kukiuka sheria

====
Diamond Platinumz' ex Tanasha Donna has been put on forced quarantine after flouting the government curfew rules.

Tanasha posted videos of herself attending a house party on Good Friday to celebrate Tim Matiba’s birthday, a manager of a popular Mombasa Road club.

She posted a video of herself driving in the dark, way after the 7pm quarantine.

Word Is has learned that she has been put on forced quarantine. She will be in quarantine for 14 days at her own cost. She also faces prosecution for flaunting the rules.

The singer was contracted on Good Friday to make an appearance and later perform at Matiba’s birthday party. Ringtone also attended.

Sources now claim everyone who attended the party has been put on forced quarantine and may be charged once they have been released.
 
Sheria sharti ifuate mkondo wake...afungwe tu
 
TATIZO KUNA WATU WANAANGALIA USAWA WA INAPOELEKEA PUA. HAWANYANYUI VICHWA KUANGALIA MBELE KUNA NINI.
KUNA NA WENGINE NDIO KWANZAA WAKUSANYA ZA MWISHO MWISHO, ETI KWAMBA UKIWAPA SADAKA UNAPATA CHANJO YA CORONA !! KWELI KUNA MTANZANIA UTAMPIGA CHANGA LA MACHO SAA HII????

WITO WANGU KWA WABONGO. HEBU TUFIKE MAHALA TUFUATE TARATIBU ZINAZOTELEWA NA WIZARA YENYE DHAMANA KTK HILI. TUSIDANGANYIKE NA WASANII NA WAPIGAJI NA NA NA.
 
Back
Top Bottom