Tanasha Dona hapendi wanaume wanaonuka jasho (vikwapa)

Tanasha Dona hapendi wanaume wanaonuka jasho (vikwapa)

Yupo sahihi,
Kuna watu unapishana nao unahisi kutapika unawaza akiwa ndani na mwanamke wake inakuaje si hadi mwanamke anaambukizwa harufu mbaya ya kwapa,
[emoji1785][emoji2961]

Kwahio mlikuwa mnatafuta sehemu ya kufungukia [emoji23][emoji23]
 
Pesa ni muhimu sababu inafanya mwanamke ajisikie secure. Unakuta mwanaume ana visenti na anajipenda kwa nini asikuvutie 🤣🤣🤣 tena wanaume wanaojipenda wanakuwaga na roho za kizungu anakutreat kama malkia hawana gubu.

Lakini janaume lanuka kibeberu mtu atapiga hela aondoke kila leo atakulilia shida akompaseti...unabaki yule mwanamke nimemfanyia mambo makubwa atanikumbuka wapiii nani akukumbuke mtu katoka kifungoni 🤣🤣
Naona unawadanganya watu hapa na umeshaanza kuwapata wakuwadanganya tufanye nije PM nikuambie nina laki 5 nikupige viwili utakataa wewe?
 
Inaonekana umezaliwa na changudoa haya kampe hiyo laki 5 alokuzaa.
Nilikuambia hivyo baada kuona blah blah unazotoa hapa...ninyi wanawake wa kuanzia 1985 kuja huku juu hamna mwenye uwezo wa kuikataa 500000 kwa bao mbili,wanawekewa dau mpaka wabunge wanawake na wanachapwa sembuse wewe na dhiki zako zinazonuka ndio upewe elfu 40 uikatae?
 
Pesa ni muhimu sababu inafanya mwanamke ajisikie secure. Unakuta mwanaume ana visenti na anajipenda kwa nini asikuvutie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena wanaume wanaojipenda wanakuwaga na roho za kizungu anakutreat kama malkia hawana gubu.

Lakini janaume lanuka kibeberu mtu atapiga hela aondoke kila leo atakulilia shida akompaseti...unabaki yule mwanamke nimemfanyia mambo makubwa atanikumbuka wapiii nani akukumbuke mtu katoka kifungoni [emoji1787][emoji1787]
Kweli pesa ni hatari...maana utakuta mwanamke radhi atoe mtaro kwa mwanaume ili apate pesa

Ova
 
Ngoja niongeze ratiba ya kuoga na kununua marashi mazuri [emoji23][emoji23][emoji23] labda [mention]cocastic [/mention] au [mention]Unique Flower [/mention] atanikubali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukoboaneee??
 
Back
Top Bottom