Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YA JUU BEFOREYa juu-after
Ya chini- before
Gharama ya shughuli hiyo ni sh. ngapi? Je, hayo matokeo yata expire baada ya muda gani? Tukizingatia kuna umri kwenda mbele - kuzeeka au umbile na mvuto kupitwa na wakati?Picha chini
Ni mwonekano baada na kabla ya kufanyiwa oparesheni hiyo ya mdomo.
Nini maoni yako,
Kapendeza au hajapendeza?
View attachment 2974262

Akifanya marekebisho ya kwenye injini, msisahau kututumia japo picha.

