Tanasha Donna afanya oparesheni ya urembo wa mdomo

Tanasha Donna afanya oparesheni ya urembo wa mdomo

Kwani huyo ni nani huko Daslamu?

Naona mleta mada umeandika kama vile wote tunamjua,wengine tupo huku vijijini ndani ndani.
 
Sasa demu kama huyo hapo unakuta ana nywele feki, kope feki, sura feki, na sasa kaweka lips feki.

Hivyo ni vitu vya usoni tu, vipi kwenye maungo ya uzazi huko hali iko vipi?

Sometimes naanza kuelewa kwanini Elon Musk alikuja na idea ya sex dolls baada ya kuona wanawake wana transform mionekano yao na kupoteza ule uasili.
Vitu vuote hivyo feki lakini atakwambia I want a real man!
 
Back
Top Bottom