Tanasha Donna afanya oparesheni ya urembo wa mdomo

Tanasha Donna afanya oparesheni ya urembo wa mdomo

Sasa demu kama huyo hapo unakuta ana nywele feki, kope feki, sura feki, na sasa kaweka lips feki.

Hivyo ni vitu vya usoni tu, vipi kwenye maungo ya uzazi huko hali iko vipi?

Sometimes naanza kuelewa kwanini Elon Musk alikuja na idea ya sex dolls baada ya kuona wanawake wana transform mionekano yao na kupoteza ule uasili.
 
Wengine tunawaza kupunguza lips wengine wanaongeza
Pole sana

20240426_142127.jpg
 
Kusema kweli Kipato kingi cha Wanawake kinaishia kwenye urembo.

Imagine kukamilisha hiyo surgery unaweza Kuta ametumia dollar 1,200 ama zaidi [emoji119]

Kwa kweli Sina budi kumshukuru Mungu kuniumba Mwanaume

If you are a Man, be proud of [emoji1635]
Lkn wewe unaweza kuta kipato chako % kubwa kinaishia mahala ambapo wanawake hawaweki hata mia kazi inazidi kuwa kazi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom