Tanasha Donna afanya oparesheni ya urembo wa mdomo

Picha chini
Ni mwonekano baada na kabla ya kufanyiwa oparesheni hiyo ya mdomo.

Nini maoni yako,
Kapendeza au hajapendeza?
View attachment 2974262
Gharama ya shughuli hiyo ni sh. ngapi? Je, hayo matokeo yata expire baada ya muda gani? Tukizingatia kuna umri kwenda mbele - kuzeeka au umbile na mvuto kupitwa na wakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…