Nini maoni yako,
View attachment 2974262
Kweli ni mrembo, lakini za chini ya kapeti zinasema hana mautundu, yaani ni kama gogo tu, ndio maana wakora wanambwaga
Nitoeni ushamba, hivi hawa wanafanyiwa upasuaji, mbona makovu hayaonekani??
Domo kama kabusu mzinga wa nyuki...
Umeanza ukorofi Kwa Wazee eeh πLkn wewe unaweza kuta kipato chako % kubwa kinaishia mahala ambapo wanawake hawaweki hata mia kazi inazidi kuwa kazi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] hauna cha uzee wala nini bado unadai sana.Umeanza ukorofi Kwa Wazee eeh [emoji12]
Nimerudia kusoma hapo "Kazi inazidi kuwa kazi"...
Bado nadai wapi wakati Mwezi Ujao natimiza 79 π[emoji23][emoji23] hauna cha uzee wala nini bado unadai sana.
[emoji23][emoji23] hakuna mzee wa aina yakoBado nadai wapi wakati Mwezi Ujao natimiza 79 [emoji12]
You are real missed Mjukuu [emoji847]
Bibi yako ni juzi tu ametoka kukuulizia [emoji12]
Kweli Wazee tunaonewa[emoji23][emoji23] hakuna mzee wa aina yako
Mdomo umebinuka kama birika la kuchemshia kahawa .,!!!![emoji855]
Bado utoto unamsumbua.Picha chini
Ni mwonekano baada na kabla ya kufanyiwa oparesheni hiyo ya mdomo.
Nini maoni yako,
Kapendeza au hajapendeza?
View attachment 2974262
MDOMO umepinda huo mkuu πππ€[emoji23][emoji23]watu mna maneno
ππππChibu anakulaga Mali safi kasoro zuchu
Vitu vuote hivyo feki lakini atakwambia I want a real man!Sasa demu kama huyo hapo unakuta ana nywele feki, kope feki, sura feki, na sasa kaweka lips feki.
Hivyo ni vitu vya usoni tu, vipi kwenye maungo ya uzazi huko hali iko vipi?
Sometimes naanza kuelewa kwanini Elon Musk alikuja na idea ya sex dolls baada ya kuona wanawake wana transform mionekano yao na kupoteza ule uasili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lkn wewe unaweza kuta kipato chako % kubwa kinaishia mahala ambapo wanawake hawaweki hata mia kazi inazidi kuwa kazi [emoji23][emoji23][emoji23]