Tetesi: Tanasha kanyang’anywa gari, wanawake tafuteni pesa zenu

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Leo mama Dangote kaposti ndinga zote zilizokua home kwa Diamond ikiwemo prado ambayo Tanasha alipewa zawadi siku ya kuzaliwa.
Baada ya kuachana Tanasha karudi kwao ila inaonekana gari bado iko kwa Mondi.

Wadada tafuteni pesa zenu msipende mtelemko sasa hivi unapewa gari kadi anabaki nayo mwenye gari mkiachika mnaondoka na watupu kwenye yutong.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo gari Ina plate namba za nchi gani ?
 
Reactions: amu
Alichobaki nacho ni kumbukumbu ya mtoto na umaarufu kua alitembea na Chibu.


Mademu wengi Hawana akili kabisa.!!..


Naye Chibu ni mnoko kama walivyo wanoko wengine... Unawezaje Ruhusu Mama wa mwanao, ahadhirike????...

Nkm jamaa anatumia ako kambinu kuwaadhibu mademu wenye njaa.... Ndio maana mpaka Leo ,Anaumia kuona Zarinah anapeta tu.
 
Yani nnavuonea huruma Tanasha utadhani na mm ni mwanamke.
Katoto kazuri sn lkn mondi kakatafuna na kukatema......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…