Tetesi: Tanasha kanyang’anywa gari, wanawake tafuteni pesa zenu

Tetesi: Tanasha kanyang’anywa gari, wanawake tafuteni pesa zenu

kwavile alimtanulia mwenyewe kijana mjua kuwadhalilisha wacha akipate cha mtemakuni.

saa hizi kuna taahira jingine limekaa tayari kumpa mond[emoji16][emoji16][emoji16],sisi ni nani hata tuwazuie na kuwaonea huruma jamani!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo mama Dangote kaposti ndinga zote zilizokua home kwa Diamond ikiwemo prado ambayo Tanasha alipewa zawadi siku ya kuzaliwa.
Baada ya kuachana Tanasha karudi kwao ila inaonekana gari bado iko kwa Mondi.

Wadada tafuteni pesa zenu msipende mtelemko sasa hivi unapewa gari kadi anabaki nayo mwenye gari mkiachika mnaondoka na watupu kwenye yutong.


Sent using Jamii Forums mobile app


Mama Mondi ni mshamba sana yule Mama, inaelekea alikulia maisha ya dhiki sana maishani mwake na ndiyo maana kila tukio kwake ni jambo la hajabu na lazima atapost mtandaoni ili watu wacomment na kumsifia....yaani simuelewi ana akili gani yule Mama.
 
Alichobaki nacho ni kumbukumbu ya mtoto na umaarufu kua alitembea na Chibu.


Mademu wengi Hawana akili kabisa.!!..


Naye Chibu ni mnoko kama walivyo wanoko wengine... Unawezaje Ruhusu Mama wa mwanao, ahadhirike????...

Nkm jamaa anatumia ako kambinu kuwaadhibu mademu wenye njaa.... Ndio maana mpaka Leo ,Anaumia kuona Zarinah anapeta tu.
Domo kwa zareeeeeh anaumia mnoo tena hatareeeeh na bado boss lady anazid kutusua tyuuh life

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom