Tetesi: Tanasha kanyang’anywa gari, wanawake tafuteni pesa zenu

Leo mama Dangote kaposti ndinga zote zilizokua home kwa Diamond ikiwemo prado ambayo Tanasha alipewa zawadi siku ya kuzaliwa.
Baada ya kuachana Tanasha karudi kwao ila inaonekana gari bado iko kwa Mondi.

Wadada tafuteni pesa zenu msipende mtelemko sasa hivi unapewa gari kadi anabaki nayo mwenye gari mkiachika mnaondoka na watupu kwenye yutong.

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay,basi sawa Mama Dangote aitumie hiyo gari kujikinga na Korona
 
Leo mama Dangote kaposti ndinga zote zilizokua home kwa Diamond ikiwemo prado ambayo Tanasha alipewa zawadi siku ya kuzaliwa.
Baada ya kuachana Tanasha karudi kwao ila inaonekana gari bado iko kwa Mondi.

Wadada tafuteni pesa zenu msipende mtelemko sasa hivi unapewa gari kadi anabaki nayo mwenye gari mkiachika mnaondoka na watupu kwenye yutong.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli hausemwi!!!...Gari hizo ni za matangazo (Kiki) Tanasha alipewa gari Kama tangazo haikua zawadi kweli!!!... magari hayana kadi ndio maana Tanasha hawezi kuchukua
 
Tabia mbaya sana kumnyang'anya mwanamke kitu ulicho mpa wakati umemtumia. Ipo siku laana zitamrudia. Manina zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapenda Kiki ndio shida!!!... Tanasha angekua kapewa Gari kweli angeondoka nayo!!!...tumemwona Hamisa na Rav 4 yake kwanini Tanasha hajachukua gari aliyopewa Kama zawadi!!!... Biashara matangazo
 
Aisee ninyi watu kwa kuzusha mambo hamjambo...mara ya kwanza mlisema gari zile ni kiki hazipo na wala hazijawahi kuonekana zikiendeshwa leo mnasema za matangazo...

Haya tuambie za matangazo gani ? Na kampuni ipi?
Wanapenda Kiki ndio shida!!!... Tanasha angekua kapewa Gari kweli angeondoka nayo!!!...tumemwona Hamisa na Rav 4 yake kwanini Tanasha hajachukua gari aliyopewa Kama zawadi!!!... Biashara matangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ndio nimemwambia Mama Gaude, siku ukisusa masufulia na madumu yote unayaacha hapahapa.
 
Leo mama Dangote kaposti ndinga zote zilizokua home kwa Diamond ikiwemo prado ambayo Tanasha alipewa zawadi siku ya kuzaliwa.
Baada ya kuachana Tanasha karudi kwao ila inaonekana gari bado iko kwa Mondi.

Wadada tafuteni pesa zenu msipende mtelemko sasa hivi unapewa gari kadi anabaki nayo mwenye gari mkiachika mnaondoka na watupu kwenye yutong.

Sent using Jamii Forums mobile app
unavyolalamika tanasha ni dada yako????????
 
Back
Top Bottom