Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

Mlishaambiwa haka ka mchezo ka kutekana ni kabaya sana, Serikali ikemee na kukakomesha - ndo kwaanza kanashamiri.

Sasa katageukia hadi mitaani mtu akikuzingua hakulipi deni au anakuchukulia mkeo/ mumeo ni mwendo wa kutekana.

Viongozi wakuu komesheni haka ka mchezo kasigeuke utamaduni wetu.
 
Viongozi wa Dini mko wapi?

Narudia tena Viongozi wa Dini mko wapi unyama ukizidi kuongezeka?

Nimeona huko Global Tv Katibu wa Wazazi CCM alitekwa na mpenzi wake kisha kuuwawa na Mwili wake kukatwakatwa na kutupwa Bahari beach na Tegeta Block D

Dada huyu mkazi wa Tandika maghorofani taarifa za kupotea kwake ziliripotiwa polisi Chang'ombe ambao walimtia Mbaroni huyo mpenzi wake ambaye alitaja maeneo mbalimbali alikozika vipande vipande vya Mwili wa Katibu wa Wazazi CCM

Credit: Global Tv

My take; Hali imezidi kuwa mbaya, roho za Ukatili zimetamalaki
Sasa viongozi wa dini ndio wanaoteka, iulize serikal yako ya CCM
 
Viongozi wa Dini mko wapi?

Narudia tena Viongozi wa Dini mko wapi unyama ukizidi kuongezeka?

Nimeona huko Global Tv Katibu wa Wazazi CCM alitekwa na mpenzi wake kisha kuuwawa na Mwili wake kukatwakatwa na kutupwa Bahari beach na Tegeta Block D

Dada huyu mkazi wa Tandika maghorofani taarifa za kupotea kwake ziliripotiwa polisi Chang'ombe ambao walimtia Mbaroni huyo mpenzi wake ambaye alitaja maeneo mbalimbali alikozika vipande vipande vya Mwili wa Katibu wa Wazazi CCM

Credit: Global Tv

My take; Hali imezidi kuwa mbaya, roho za Ukatili zimetamalaki
DRAMA
 
Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Sehemu totauti tofauti ili kukosekana ushahidi.

Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na kuvizika maeneo tofauti tofauti

USSR

=====

Huyu anaitwa Ezenia Stanley Kamana, alitokewa nyumbani kuanzia tarehe 1 August huko Tandika Maghorofani, Taarifa ya polisi imethibitisha kwamba, mwanamke huyu ameuawa kwa kuchinjwa na aliyekuwa mpenzi wake. Inadaiwa mwanaume huyo alimchinja mwanamke huyo na kutenganisha viungo vyake.

Baadhi ya viungo vikiwemo paja moja, vipande vya mikono miwili, eneo la kifua, tako, matumbo na nguo vilikutwa kwenye kiroba maeneo ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.

Baada ya kupata viungo hivyo na mtuhumiwa kuelezwa aliamua kueleza ukweli kuwa alimuua mpenzi wake huyo na kutenganisha mwili wake katika vipande na kwenda kuvitupa maeneo tofauti.

Agosti 23, 2024 aliwaongoza askari hadi eneo la Tegeta Block D na kuwaonyesha alipotupa miguu na baadaye aliwaonyesha eneo ambalo alitupa kichwa...
😭😭😭 Binadam wabaya
 
Back
Top Bottom