Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

Acha uongo banaa.sisi ccm Huwa hatutekwi.wanaotekwa ni chadema tu na WA vyama vingine.
 
Mlishaambiwa haka ka mchezo ka kutekana ni kabaya sana, Serikali ikemee na kukakomesha - ndo kwaanza kanashamiri.

Sasa katageukia hadi mitaani mtu akikuzingua hakulipi deni au anakuchukulia mkeo/ mumeo ni mwendo wa kutekana.

Viongozi wakuu komesheni haka ka mchezo kasigeuke utamaduni wetu.
 
Sasa viongozi wa dini ndio wanaoteka, iulize serikal yako ya CCM
 
DRAMA
 
😭😭😭 Binadam wabaya
 
Sasa km kutaja umri wako unaogopa watu ndio utaweza kuwa na mahusiano na mtu mwenye age same na ya bibi yako?!!
Umekuwa kunguru kujificha kwenye kichaka cha umri ilihali we mwenyewe hujui umri wangu, afu mbona nina dada zangu wengi tu ni Bibi kwa Watu wengine?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…