Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
KashesheUmekuwa kunguru kujificha kwenye kichaka cha umri ilihali we mwenyewe hujui umri wangu, afu mbona nina dada zangu wengi tu ni Bibi kwa Watu wengine?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hata kama ni Tsh 1000/= usichukue.Kwa hela gani wanazomiliki? Hao ni washamba tu wa mapenzi.!!
Anaweza kuwa Si mkorofi ila malayaI
Ila ni mara Chache sana kukuta type hii ya wanawake wakiwa wakorofi sijui what went wrong anyway rest in eternal peace beautiful soul
Habari ya kweli pich ndo za uongo mkuu.Anyway Japo habari ni ya kizushi ila funzo ni moja hapo. KATAA NDOA
Picha ya huyu mnyama tafadhaliViongozi wa Dini mko wapi?
Narudia tena Viongozi wa Dini mko wapi unyama ukizidi kuongezeka?
Nimeona huko Global Tv Katibu wa Wazazi CCM alitekwa na mpenzi wake kisha kuuwawa na Mwili wake kukatwakatwa na kutupwa Bahari beach na Tegeta Block D
Dada huyu mkazi wa Tandika maghorofani taarifa za kupotea kwake ziliripotiwa polisi Chang'ombe ambao walimtia Mbaroni huyo mpenzi wake ambaye alitaja maeneo mbalimbali alikozika vipande vipande vya Mwili wa Katibu wa Wazazi CCM
Credit: Global Tv
My take; Hali imezidi kuwa mbaya, roho za Ukatili zimetamalaki
Unawalaumu viongozi wa dini badala ya kuilaumu ccm na serikali yake? Wao ndio wana jukumu la kuhakikisha tuko salama 24/7Viongozi wa Dini mko wapi?
Narudia tena Viongozi wa Dini mko wapi unyama ukizidi kuongezeka?
Nikupe namba unitumie hela halafu nikurudishie 😜Hata kama ni Tsh 1000/= usichukue.
Ndio kazi zake mana kakuktwa adi na nguo za wanawake wengine tofauti na ezeniaDuh jamaa itakuwa ndio kazi zake
Kwahiyo mwanangu unataka CCM ikae nyuma ya Kila mwanandoa kuobserve usalama?Unawalaumu viongozi wa dini badala ya kuilaumu ccm na serikali yake? Wao ndio wana jukumu la kuhakikisha tuko salama 24/7
Kosugi Stratopause na The Alan walker ni kipi kime wachekesheni kwenye hii taarifa?Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Sehemu totauti tofauti ili kukosekana ushahidi.
Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na kuvizika maeneo tofauti tofauti
USSR
=====
Huyu anaitwa Ezenia Stanley Kamana, alitokewa nyumbani kuanzia tarehe 1 August huko Tandika Maghorofani, Taarifa ya polisi imethibitisha kwamba, mwanamke huyu ameuawa kwa kuchinjwa na aliyekuwa mpenzi wake. Inadaiwa mwanaume huyo alimchinja mwanamke huyo na kutenganisha viungo vyake.
Baadhi ya viungo vikiwemo paja moja, vipande vya mikono miwili, eneo la kifua, tako, matumbo na nguo vilikutwa kwenye kiroba maeneo ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Baada ya kupata viungo hivyo na mtuhumiwa kuelezwa aliamua kueleza ukweli kuwa alimuua mpenzi wake huyo na kutenganisha mwili wake katika vipande na kwenda kuvitupa maeneo tofauti.
Agosti 23, 2024 aliwaongoza askari hadi eneo la Tegeta Block D na kuwaonyesha alipotupa miguu na baadaye aliwaonyesha eneo ambalo alitupa kichwa...
SIMBA LA MASIMBA DANGORE HAUJHUII??
Sijui nieleze nini ila sijacheka kwa uzuri ni kicheko cha kusikitika.
Kwa hiyo una maanisha kazi ya kulinda wananchi ni kazi ya viongozi wa dini?Kwahiyo mwanangu unataka CCM ikae nyuma ya Kila mwanandoa kuobserve usalama?
Itakua Kina mwashambwa walikua wanamla huyu dada, mumewe akaamua kumgawanaa, Lol
Sijui nieleze nini ila sijacheka kwa uzuri ni kicheko cha kusikitika.
Kwa hili tukio kuna mtu pia namkumbuka na nikimkumbuka nacheka sanaa.