Tetesi: TANESCO 180 SIYO YA BURE INAKATA MUDA WA MAONGEZI

Bubu Msemaovyo

Platinum Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,189
Reaction score
3,552
Nimepiga simu Tanesco kwa namba yao mpya namba 180 ambayo walisema ni bure. Lakini cha ajabu imekata muda wangu wa maongezi. Tusifike mahala tukawaita majina mabaya kuweni realistic. Asante sana
 
Tz serikali ikikupa kitu cha bure kitathmini kwanza
 
Nimepiga simu Tanesco kwa namba yao mpya namba 180 ambayo walisema ni bure. Lakini cha ajabu imekata muda wangu wa maongezi. Tusifike mahala tukawaita majina mabaya kuweni realistic. Asante sana
Bure yao ni kwamba ile hela inayokatwa haiingii kwenye bili yako ya umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…