Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mvua zinanyesha Dar. Huku kwetu Mikocheni hamkati umeme. Je hii si hatari? Kawaida huwa likitokea wingu tu mnakata umeme. Lakini nashangaa hadi inanyesha mkataji amezubaa tu.
Je mmeanza kuzoea kazi? Acheni mambo hayo please. Kateni umeme huku Mikocheni hizi mvua haziendani na umeme.
Je mmeanza kuzoea kazi? Acheni mambo hayo please. Kateni umeme huku Mikocheni hizi mvua haziendani na umeme.