Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
TANESCO inapaswa kuandaa mkutano wa wazi na wananchi, hata kama ni pale Uwanja wa Taifa, ili kuzungumza na kutatua tofauti zilizopo na Wananchi ambao ndio wateja wenu. Matamko mnayotoa mara nyingi hayajibu maswali kikamilifu, na inawezekana tunawalaumu kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wenu.
Mkutano huo utasaidia kuleta uwazi na kuelewa changamoto pande zote.
Mkutano huo utasaidia kuleta uwazi na kuelewa changamoto pande zote.