KERO TANESCO Bagamoyo walisema kuunganishe umeme baada ya kulipia ni Siku 30, sasa wanasema siku 60

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ninakero yangu, mkoa wa Pwani Bagamoyo Tanesco ni Kero, nimelipia kuhusu kuunganishiwa umeme tangu mwezi wa nne mwanzoni 2026 hadi sasa hawajaniunganishia, kila nikiwapigia mwanzo walisema siku 30 za kazi baada ya siku 30 za kazi kupita wanasema ni siku 60 za kazi ni kerooo.
 
Ni siku 300-600 huko, labda uwahonge....
Funga Solar
 
Ninakero yangu, mkoa wa Pwani Bagamoyo Tanesco ni Kero, nimelipia kuhusu kuunganishiwa umeme tangu mwezi wa nne mwanzoni 2026 hadi sasa hawajaniunganishia, kila nikiwapigia mwanzo walisema siku 30 za kazi baada ya siku 30 za kazi kupita wanasema ni siku 60 za kazi ni kerooo.
Habari Anonymous, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto, tafadhali tuandikie namba ya ombi au namba ya simu kwa msaada zaidi.^MY
 
Back
Top Bottom