TANESCO bingwa Kagame Cup!

TANESCO bingwa Kagame Cup!

gango

Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
32
Reaction score
6
Ama kweli leo nimeamini TANESCO hamuna utani na mtu, yaan mpira ulipo kwisha tuuu mambo yote KWISHINEI

hivi kwanini msingekata baada ya Goli tu kuingia...?????

au kipindi cha pili kilipoanza tuuuu???

any way big up TANESCO we love u soooo much hata mwakani mfanye hivyo tena na kwenye sherehe za uhuru kama kawa!!!

alafu mi naona hata siku akiwapo JK mkate tuuu mumuonyeshe kuwa nyie no ALPHA NA UMEGA....

TANESCO OYEEEEEEEEEE
 
hahaha mie hiyo heading tu......mbavu sina.
 
Si unajua wameachana na kugawa umeme sawa wako bize na mgao wa umeme
 
Yaani Tanesco wamekuwa maarufu kuliko mabingwa Yanga. Kwa kweli wameniboa sana maana tunashindwa kuwapongeza Yanga tunabaki kuwalaani Tanesco tu kweli wamekuwa mabingwa.
 
Hahahahahah lol! nimecheka sana...lakini hiyo avatar yako inatisha sana. Hebu iondoe tafadhali.
 
hii nch ha2na uhuru ni nch gan africa inashda ya umeme ka cc?uganda rwanda hata burund wame2acha mbalii vijana msikubali 2walambe bakora next time
 
Huwa nikiitazama hiyo avatar nakosa hamu ya kula,itoe bwana,yaani leo tanesco wamenitoa kwenye mood kabisa yaani..
 
Let us think critically, ni nani hasa aliyekata umeme: ni maamuzi ya Tanesco au ni shabiki wa simba aliye- extend hasira zake na kujjichulia madaraka?. Kama tunautawala bora ninategemea kupata taarifa ya ama waziri wa michezo, TEFETEFu au waziri wa nishati au meneja wa uwanja juu ya nini kilitokea.
 
huu mwendo wa giza tunao hadi 2015,..pale tutakapoamua kufanya jambo la busara,..
 
mambo mengine balaa tupu!! hivi ingekuaje kama umeme ungekatika dakika mbili kabla ya mpira kumalizika!!! nadhani sasa hivi tungekua tunaongelea story nyingine kabisa!!!!! kweli Tanzania Tanzaniaaaa nchi yangu ni nzuuuri saaana.......
 
Kazi ipo kwa tanesco, please ondoa hiyo avetar yako inahuzunisha sana
 
Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti, Uwanja bomba hauna automatic generator, tanesco wasilaumiwe. Imagine ingekuwa ni shughuli nyingine ya Kitaifa inafanyika hapo na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa wapo pale halafu hali hiyo inatokea pangekalika. Nafikiri watu wa kuwajibika wawajibike kama wale waliowajibishwa wakati wimbo wa Taifa ulipogoma kupigwa kipindi kile.
 
tetesi ni kuwa ilipaswa mechi iishe kwenye penati ndipo umeme ukatike ili mechi ichezwe siku nyingine, na mavuno yaongezeke...!!!! ni tetesi tu lkn
 
Tanesco.....na wote wanaonufaika kwa sisi watanzania kukosa nishati ya umeme...mle vya mwisho mwisho. 2015.....is coming.......soon.
Nyambafu wakubwa nyie...........................watu baada ya kuwaza maendeleo tunauwazia umeme........
 
Kabisa kabiisa.... Tanesko ndio mabingwa Kagame kapu!

Tanesco....
hawakujua pale kuna wananchi karibia laki moja na kila mmoja ana akili zake....
Tanesco hawajui kwamba roho za watu ni bora kuliko huo mgao wao wa umeme...
Tanesco hawakujiuliza wakikata umeme nini kinaweza kutokea...
Tanesco si kwamba ni kusudi kukata kwao umeme kwa maana wanajua hatuna tunachoweza kuwafanya bali wakikithiri dharau kwani wao ni zaidi yetu!!

Wahusika wa UwANJA!

Wamekithiri kwa wizi na uongo!
wameridhika kwani hawawajibshwi kwa matukio wanayotenda bali atapatikana Kaijage mwingine badala yao...
Mafuta ya milioni siita wanayolipwa na watumiaji wa uwanja (kia mechi) hawaoni tija kuweka kwenye magari yao..
Hawaoni tija kuhonga...
hawaoni haya kusafishia nyota VILABUNI!..

HAWAJALI KAMA JENERETA LAO NI ZIMA AMA BOVU MTAJIJUA WENYEWE!!
HAWAHITAJI KUJUA IKIWA KAMA WATU WATANG'OA VITU AMA KUHARIBU BAADA YA KUTOKUWEPO UMEME!! NA INAWEZEKANA KUKITOKEA WIZI WAO WANAPATA KUHALALISHA WIZI WAO!!

HAIWAJALISHI WAO THAMANI NA USALAMA WA WATANZANIA WENZAO, ILI MRADI KARO ZA SHULE ZA WATOTO WAO WAMEPATA KWA UFISADI WAO....

Urio......!! Urio......!! ILIKUWAJE?
 
Back
Top Bottom