NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
Si tu lazima achoke. Anaweza akapita karibu na pwani na akaona akina Shaggy wana shoot video na zile totoz za Kilimanjaro Ze bia. Hapo kunakuwa na mfadhaiko na uchovu kwa papo.
Sio rahisi kuchoka katika bembea.... nzuri zaidi mama wa kwanza alikuwa karibu yake... 😀 😀Kibs Umemwona Chairman wako akibembea kule Jamaica....."angechoka" ghafla ingekuwaje pale LOL
Jamani, KULIKONI kama yalivyo magazeti mengine hapa Tanzania lina mapungufu yake. Lakini pia lina mema yake. Lazima tuseme ukweli kuwa kwenye hii habari yao wamemnukuu Zitto extensively. Nimehesabu sasa hivi gazeti hilo limetoa zaidi ya paragraph 6 kueleza "hoja" kama sio "Vioja" vilivyojengwa na Zitto kumtetea (kumbeba) Rashidi. Zifuatazo ni direct quotes kutoka kwa Zitto zilizo andikwa na gazeti hilo...
"Umpende usimpende Rashidi, ni one of the best CEOs of our Parastatals (mmoja wa viongozi bora zaidi wa mashirika yetu ya Umma)," amesema mbunge huyo machachari kwenye mjadala mkali unaoendelea kuhusu sakata la Rashidi kupitia kwenye tovuti ya www.jamiiforums.com.
Zitto alipuuza kauli hizo akisema: "Nimesema hili (la rada) ni suala la mahakamani na tushinikize wanaotajwa wapelekwe mahakamani na mahakama ndio pekee zenye mamlaka ya kusafisha mtu au kuhukumu.
"Sijaona hoja hii (ya rada) imeathiri vipi kazi za huyu bwana pale Tanesco. Kwa maoni yangu, narudia maoni yangu na wala silazimishi mtu yeyote akubaliane nami, Rashidi ni mmoja wa maCEO bora kabisa katika Mashirika yetu ya Umma Tanzania.
"Kinachonipa tatizo ni jinsi watu walinvyoline up (jipanga) kuchukua nafasi pale Tanesco ili kufurahisha wanasiasa. Nitawapinga hao kwa nguvu zangu zote,"alisema mbunge huyo na kusisitiza suala hilo bado halijathibitishwa na Mahakama
Hivi, Zitto anaposema kuwa Rashidi ni one of the best CEOs wa Tanzania. Akatoa track record yake alipokuwa BoT na kumwagia sifa tele za "msimamo" wake wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa. Tena akatumia takwimu ambazo bila shaka amezipata kupitia cheo chake kama m'kiti wa kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma na kusema kuwa eti Rashidi ameweza kuboresha hali ya kipato ya Tanesco. Sifa zote hizi kede kede zimetolewa kukiwa na mjadala mkali juu ya Rashidi na hatma yake. Je, ni upotoshaji au uandishi uchwara au malice kusema kuwa Zitto ampigia debe Rashidi? Wote tumeshuhudia humu kwenye JF how Zitto went out of his way to shower lavish praise on Rashidi.
.
Hivi, Zitto anaposema kuwa Rashidi ni one of the best CEOs wa Tanzania. Akatoa track record yake alipokuwa BoT na kumwagia sifa tele za "msimamo" wake wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa. Tena akatumia takwimu ambazo bila shaka amezipata kupitia cheo chake kama m'kiti wa kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma na kusema kuwa eti Rashidi ameweza kuboresha hali ya kipato ya Tanesco. Sifa zote hizi kede kede zimetolewa kukiwa na mjadala mkali juu ya Rashidi na hatma yake. Je, ni upotoshaji au uandishi uchwara au malice kusema kuwa Zitto ampigia debe Rashidi? Wote tumeshuhudia humu kwenye JF how Zitto went out of his way to shower lavish praise on Rashidi.
Kuhusu gazeti la KULIKONI ku pick mjadala wa JF na kuandikia habari, nadhani ni jambo la kusifiwa na kuigwa kwani linathibitisha kuwa JK ni Home of Great Thinkers kweli na vile vile linasaidia kuleta umaarufu zaidi kwa JF na kusambaza mijadala ya humu ndani kwa umma wa Tanzania. Tukumbuke kuwa ni asilimia chache sana ya Watanzania wenye access ya Internet. Long live JF, magazeti muwe huru kusambaza mijadala ya JF ili Watanzania wote mijini na vijijini waweze kuchangia mawazo yao.
Ha ha Shy hapo Hujaji-contradict?Tunaanza kuingilia privacy za watu sasa ,...... halafu tina nina wasiwasi na wewe kuna mtu anakusaidia kuandika Chunga sana mdogo wangu
Yangetokea yale ya Mwanza ingekuwa noma ile mbaya maana inaonekana parefu pale! Tungemsahau, tushukuru Mungu kaepushia mbali.Kibs Umemwona Chairman wako akibembea kule Jamaica....."angechoka" ghafla ingekuwaje pale LOL
Nimemwambia ukweli yeye abishe kama kweli hasaidiwi kuandika - hii ni mbaya sana
Hiyo ni dalili ya kukosa hoja. Hapa tupo wote kujadili mada na kubadilishana mawazo. Maoni yote ninayotoa yanatokana na fikra zangu binafsi. Au ni vigumu kwako kuamini kuwa mtu anayeitwa Tina anaweza kuwa na fikra huru? Tujadili hoja, si upuuzi wa hisiaSHY
Nimemwambia ukweli yeye abishe kama kweli hasaidiwi kuandika - hii ni mbaya sana
Wanajamvi,
Hata kama Rashid ni the best CEO, lakini tukubali umri wake umeshamtupa ni vema akapumzika wakaingia watu wapya.
Ni ajabu sana watu wanalalamika kuwa wazee wapumzike (hata JK kasema) lakini baadhi ya watu hapa wanaotaka wazee waondoke ndio wako mstari wa mbele kumtaka Rashid arudi tena
Maswali machache:
1. Je rashid alioomba kazi ile
2. Je alifanya usaili- maana yeye publicly alisema hana haja na hiyo kazi.
Ukiona mtu anmtetea Rashid lazima kuna walakin; yawezekana hamfahamu vizuri Dr Rashid au ana chembe chembe za ufisadi, au ni ndugu yake wa karibu, au anafaidika kimaslahi kwa Rashid kuwa pale au ni Muislamu anayehusudu udini- maana jamaa ndo kiboko ya udini
Bahati nzuri namfahamu vizuri nilliwahi kufanya naye kazi ACB, hana sifa hizo anazotaka kutuamininisha Zitto. He is just a normal CEO- hana la ziada.
Hao ndio wale ambao rais akitembelea sko la Tandale, wanasema hatujaona rais kama huyu hakika ni mchapakazi, haijawahi kutokea, ingawa hakuna tija yoyote inayopatikana kutokana na ziara hiyo.
Dr Rashid kupendwa na wafanyakazi wa chini kumesaidia kuboresha tija kwenye shirika hilo? kwa kiwango gani. Tija yetu sisi wananchi ni kuona umeme haukatiki bila sababu za msingi, rushwa inatoweka TANESC, na wananchi wengi wanapata huduma za umeme kwa ufanisi zaidi
Wengi huko wanaongea ki-kanisa kanisa ..utawajua tu...wakiona any muslim name..or politician wako so scared and terrified UDINI mtupu..na wanaboaKhe khe khee hee!!! walau wewe umekuwa mkweli na muwazi badala ya kuzungusha zungusha kama akina Tina.
Kumbe tatizo ni Uislamu! haya mengine yote ni blah blah tu si ndio maana Kimei pamoja na kuhusika na ku channel mipesa ya EPA anapeta kwa kuwa ana dini muafaka.
Safi kabisa umesikika mkuu.