Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
- Haya ndiyo maneno yaliyomponza Zitto.
Respect.
FMEs!
This is a fact! Asante Mkulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Haya ndiyo maneno yaliyomponza Zitto.
Respect.
FMEs!
.............tusipime mafanikio ya Dr Rashid kwa kigezo cha kuelewa mambo, au kupendwa na wafanyakazi, au kupata hati safi ya ukaguzi wa mahesabu; tumpime kwa kufanikisha upatikanaji wa umeme hapa nchini-kwa maana ya uhakika wa upatikanaji na kiwango alichopanua huduma hii kwa wananchi wengi iwezekanavyo. Tukitumia kigezo hiki tutagundua kwamba Dr Rashid alipaswa kuwa ameachia au kuachishwa ukurugenzi, sio jana, bali tangu juzi!
Naona kwa wengine somo dogo sana linakuwa zito kweli kweli.
Huwezi kuthibitisha huyu aliyesema haya hapa JF ni Zitto, kuna sehemu nyingine Zitto alipozungumzia haya offline, on record?
Kama hakuna hizi zinakuwa speculations, innuendo na propaganda tu, in a court of law ushahidi huu unatupwa kama circumstantial at best. Huwezi kutumia maandishi yasiyo verifiable ya online forum kama basis ya habari serious.
Naona kwa wengine somo dogo sana linakuwa zito kweli kweli.
Huwezi kuthibitisha huyu aliyesema haya hapa JF ni Zitto, kuna sehemu nyingine Zitto alipozungumzia haya offline, on record?
Kama hakuna hizi zinakuwa speculations, innuendo na propaganda tu, in a court of law ushahidi huu unatupwa kama circumstantial at best. Huwezi kutumia maandishi yasiyo verifiable ya online forum kama basis ya habari serious.
Jiulize swali dogo tu kama angeandikwa vibaya John Samwel Malecela, huyu jamaa angeweka maslahi ya taifa kwanza?
FMES,
Unfortunately una ji contradict.
Huwezi kusema "Mkuu Pasco, maneno yako ni mazito sana, lakini mnasahau kwamba sisi JF tunachojali ni hoja muhimu kwa taifa" halafu hapo hapo useme "mambo ya sheria za uandishi hazituhusu hapa"
Sheria za uandishi hazituhusu wakati issue nzima imetoka kwenye article ya gazeti? Kama baba yako angeandikwa kasema maneno ambayo hakusema bado ungesema sheria za uandishi hazituhusu? Huwezi kusema unaangalia maslahi ya taifa na hujali sheria za uandishi, maslahi ya taifa ni pamoja na sheria za uandishi. You cannot have one without the other, sheria za uandishi ni subset ya hoja muhimu za taifa, ukiondoa umuhimu wa sheria za uandishi umeondoa kitu kimoja muhimu sana katika mambo muhimu ya taifa, therefore umepunguza "hoja muhimu za taifa.Kama uko makini kuhusu mamabo muhimu ya taifa utajali sheria za uandishi, hata kama ni kubadilisha sheria mbovu, lakini huwezi kusema hujali sheria za uandishi na ukasema unajali mambo muhimu ya taifa, huu utakuwa ni utovu wa ukweli au upotofu wa fikra tu.
Ni sawa sawa na kusema "hapa JF tunachojali ni kukamata mwizi kulinda maslahi ya taifa" na kuendelea kusema "mambo ya sheria na jinsi gani mwizi anakamatwa na kuhukumiwa hayatuhusu". Basically una endorse mob justice, watu kupigana mawe ovyo bila due process, una set bad precedent.Siku moja hata wewe watu wanaweza kukuita mwizi ukachomwa moto, hapo ndipo utaona umuhimu wa kufuata due process. Unaset precedent mbaya kuruhusu viandishi uchwara kuokoteza habari hapa na kuzichapisha bila further verification.
Mtu pekee anayeweza ku-ignore hii principle ya fairness iliyo wazi kabisa ni a Machiavellian partisan courtesant.Ni mtu anayetaka kutumia mjadala huu ili kufikia ends zake za kisiasa tu - au labda na yule ambaye shule imempita kushoto kiasi cha kutoelewa concept nzima ya journalistic integrity- anayeweza kudiscuss utumbo huu ulioandikwa na waandishi uchwara kama serious news.
Kwa taarifa yako tu, journalistic integrity ina play a big part katika transparency, freedom and responsibility of press, rule of law, na vitu vyote hivi vina umuhimu mkubwa kabisa practical - sio theoretical na academic tu- katika mambo yaliyo muhimu kwa taifa.
Mkuu unavyoongea unataka kunishawishi kwamba wewe ni mtu ambaye hajawahi kukanyaga shule, na haelewi umuhimu wa journalistic integrity katika kujenga jamii responsible.
Ukishasema "sikatai kwamba huenda kuna ethics za uandishi zimekiukwa" na hususan kama ethics zenyewe zinahusu verifiability ya the fact kwamba Zitto ni kweli amesema au hakusema, wapi unapata audacity ya ku comment further kuhusu hii issue? Kama kuna utata on whether Zitto amesema au hakusema, utaendaje kuhukumu, kutoa positions and all that?
Mbona logic ndogo tu ya if A then B inatushinda?
Mbona logic ndogo tu ya "If we are not sure that Zitto said this" then "there is no news to discuss" inatushinda?
1. Blue Ray lazima tufike mahali tukubaliane watu hatulingani katika suala zima la uelewa baadhi ya issue zinazohitaji deep thinking,
2. ni kweli humu JF tuna ma deep thinkers wachache na rundo la mamediocre, huwezi mbadili mediocre into deep thinkers,
3. haya ni mambo ya I.Q, tutaendelea kubishana hapa mpaka asubuhi. Tufike mahali tukubaliane kutokukubaliana ili tusonge mbele.
- Hilo mkuu ni tatizo la Zitto, sio lako wala la JF halituhusu ningekuelewa kama iwapo wewe na wenzako mngekuwa mme-raise hii ishu ya genuinity ya ID kwamba anayeingia hapa kwa jina la Zitto ndiye mbunge au sio yeye hili mngelisema mapema toka alipoingia hapa JF ningekubali argument yenu ya sasa kwamba ni valid,
- Zitto amejadili ishu nyingi sana humu JF hakukuwa na tatizo la kama ni yeye au sio, sasa leo mwandishi wa habari ameamua kuyapeleka haya majadiliano mbele kwa wananchi wengi wasio na mitandao ili wasome elimu ya juu zaidi ikichambuliwa juu ya taifa lao, allover sudden mnasema oooh no huyu aliyesema sio Zitto! Oohh sheria za uandishi zimevunjwa,
- Zitto, wanasiasa maarufu Duniani wanaheshimika kwa sababu moja tu nayo ni msimamo, ulianza vizuri sana wote tulikuuunga mkono believing kwamba una msimamo, ukaanza kuharibu mwenyewe na kujiiingiza kwenye kamati ya madini ya mafisadi, the next thing we know ukaanza kutetea Dowans, the next thing we know unataka kuwa Mwenyekiti wa Chadema, now unamtetea Rashid ambaye sio siri ni chaguo la mafisadi, what else now is left kwetu wananchi kukuamini tena?
- Milango ya kutoaminika na wananchi umeifungua mwenyewe, sasa kama nia yako ni kutaka kuifunga ili tukuamini tena then take full responsibility for your words and actions, badala ya kutuletea za "nia mbaya nonsense" na wewe sasa unakuwa kama Lowassa, oooh nimeonewa! Na kutuachia wananchi mijadala isiyokuwa na kichwa wala miguu! Kama Zitto anaamini kwamba maneno anayosema hapa JF hayana anything to do na msimamo wake as a politician to our nation then Zitto ana tatizo tena kubwa sana, na ni yeye mwenyewe basi anayewapa maadui zake risasi za kumuuua kisasa, na hasa wale wanaosema hajakomaa kisiasa!
- Unajua binafsi nimesikitishwa sana na hiki kitendo cha Zitto cha kususa kuandika tena hapa bila sababu ya msingi, amekifanya makusudi kutaka kutuvuruga vichwa tusijadili ukweli wa context ya maneno yake kwa taifa, badala yake tuvurugane on legality ya kuhamishia manenao yake kwenye magazeti, exactly what Lowassa did kususa Uwaziri Mkuu ghafla ili tusijadili context ya ripoti ya kamati ya Mwakyembe, badala yake tuanze kujadili nonesense za kuonewa au kutoonewa kwake that is unacceptable kwa kiongozi kama yeye aliyejaribu sana kutuamsha wananchi kuhusu mafisadi!
- Zitto akumbuke kwamba alipoziibua dataz za waziri wetu wa Madini kusaini mikataba iliyooza hotelini London, hatukumuuuliza legality ya zile dataz how they were obtained, isipokuwa taifa zima tulisimama naye kujadili the context ya alichokisema na hasa madhara yake kwa taifa letu, sasa leo na yeye akinukuliwa huku JF asilie kwamba kuna "nia mbaya" na sisi JF tusijiingize kwenye hii mitego ya wanasiasa kukwepa their responsibilities kwa kutumia ujanja wa legality, pamoja na kwamba so far Zitto hajakifanya ila kuna wanaojaribu kumfanyia! lakini hawawezi kufanikiwa kwa sababu hizi standards za juu kwa viongozi wa taifa ni yeye mwenyewe Zitto ndiye aliyezi-raise! sasa it a shame kwamba Zitto na baadhi ya wananchi kudhani kwamba Zitto hatakiwi kuishi kwa the same standards alizozi-raise yeye mwenyewe kiuongozi!
- Infact ni aibu kwetu JF hata kuwa na this kind of debate!
Respect.
FMEs!
1. Ni wazi pia kwamba, miongoni mwa ma CEO wa mashirika ya umma, Dr Rashidi ana uwezo sana wa kujenga hoja, tena kisomi, na hapa ndipo alipoukoga moyo wa Zitto.
2. Najua Zitto ni mwepesi wa kushawishika kulingana na uzito wa hoja, kitu ambacho ilikuwa rahisi sana alipokutana na Dr Rashidi. Na kwa hili Dr Rashidi atakuwa aliwaacha mbali sana Ma-CEO wengine waliokutana na kamati ya akina Zitto.
3. Lakini ubora wa Dr Rashidi unaishia hapa, hauendi zaidi.
4. Kwa kigezo cha perforamce, kwa maana ya kufikisha umeme kwa wananchi, majumbani, viwandani, n.k., nafikiri Dr Rashidi anaingia kwenye kundi la ma CEO walioshindwa sana.
5. Katika utu uzima wangu na tangu niingie katika mzunguko wa watumiaji wa umeme hapa nchini, kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba ni kipindi cha Dr Rashid ambapo nchi imeshindwa kutoa huduma ya umeme hata kwa kiwango cha chini kabisa.
6. Huyu ni mtu ambaye ameongoza TANESCO katika kipindi ambacho upatikanaji wa umeme nchini umekuwa ni wa kubahatisha na ubabaishaji kuliko hata kipindi cha NETGROUP ambao tuliwachukia sana.
7. Sasa ushauri wangu ni kwamba tusipime mafanikio ya Dr Rashid kwa kigezo cha kuelewa mambo, au kupendwa na wafanyakazi, au kupata hati safi ya ukaguzi wa mahesabu;
8. tumpime kwa kufanikisha upatikanaji wa umeme hapa nchini-kwa maana ya uhakika wa upatikanaji na kiwango alichopanua huduma hii kwa wananchi wengi iwezekanavyo. Tukitumia kigezo hiki tutagundua kwamba Dr Rashid alipaswa kuwa ameachia au kuachishwa ukurugenzi, sio jana, bali tangu juzi!
It is one thing kama mtu unataka kuongelea ufanisi wa Dr. Rashid per se, bila kuhusisha ki article hiki uchwara kisicho kichwa wala miguu.
It is quite another kutumia kiarticle hiki kisichojua maadili wala sheria za uandishi.
Ukitumia ki article hiki kum link Zitto halafu watu wakakuita bongolala au una IQ ndogo, wala usiseme kwamba watu wanakutusi, itakuwa sawa sawia tu.
Utakuwa huna tofauti na wale watu wanaofanya roadside courts, kuhukumu watu papo kwa hapo na kuwapiga mawe, in one word, primitive.
No apologies.
Lakini wauze c kwa ku destroy image ya mtu au watu, ndo tunarudi tena katika ethics za journalism. kwanini hamtaki kulikubali hilo wakati lipo clear ndugu zangu. Ifike wakati mambo ya ajabuajabu tuyakatae watanzania, ndio itakua njia pekee kuliokoa Tanzania.
kaka hapo juu wewe mwenyewe umekubali ni Bias story, afu imetolewa katika forum ya internet, hiyo pekee inatosha kuupinga na kukemea upupu wa Kulikoni, kuliko kuutetea.
..........Ni utumbo fulani ambao mtu ambaye haelewi umuhimu wa proper sourcing tu anayeweza kuu entertain.
Ukisema kuuza magazeti kuna technicalities zake una sound kama unatetea utumbo huu, unless nina ku misread ujieleze una maana gani.
Upo sawa kabisa
Ni kama leo aje mtu hapa ajiweke JK, then aandike kitu vyombo vya habari vim quote.
Me sijui sana mambo ya journalism, ile je JF inaweza ikawa proper sourcing kweli?
kwa standard zipi hizo kutokea hapa JF? .........mnaweza kututhibitishia kuwa Zitto wa JF si Zitto Mbunge?....kama kuna mtu hapa anajifanya Zitto na aliongelea ufisadi kuanzia Buzwagi and so on.........then mtuambie
Ndugu yangu mimi kusema ni biased story ni moja tu ya mitizamo yangu kuhusu story nzima...ukisoma vizuri post yangu utalielewa hilo
rudia kusoma post yangu utanielewa..........na wala haimaanishi kutetea "utumbo" kama unavyotafsiri..........
Mlikuwa wapi kupiga kelele huyu Zitto wa JF alipojitokeza hapa JF?
what do you mean proper sourcing?...........Hivi Spika Sitta alipotuungurumia JF kuwa ni mtandao feki kwa kuweka data za akina KAGODA et al.........hebu jiulize ni nini kilitokea baada ya hapo...........
Uwepo wa tofauti ya uelewa its a fact, na facts are sturbon things, sijasema mimi na Blueray ndio tuna I.Q kubwa kushinda wote hapa JF. Nasisitiza tofauti za I.Q zinasababisha watu kuleta ubishi mkubwa kwenye vitu vinavyohitaji just simple logic. Mimi nimezungumzia tuu I.Q kwenye uelewa, hiyo ya high na low ni wewe unaileta, ila pia nakiri I belong to the low group.- Mkuu Pasco, sikutegemea hata siku moja unaweza kuja hapa na maneno ya low kiasi hiki, sasa kama wewe na Bluray mna IQ kubwa sana kushinda wote hapa JF then mnatafuta nini kuendelea kujadili na sisi wenye low IQ?
.- Ni ustaarabu tu ndugu yangu ungetuomba radhi wana-JF kwa haya matusi ya nguoni, tushindane kihoja lakini sio kutukanana just because huwezi kupata your way na hoja zako! Nimesikitishwa sana mkuu maana wewe huwa ni namba moja sana kule chini inapoanzishwa mijadala ya kulaumu wengine kwa madai ya abusive language
- Sasa mkuu iombe radhi forum na haya matusi yako ya nguoni, ni ushauri wa bure tu mkuu!
- Mkulu Ogah, saafi sana endeleza libeneke mkuu mimi ninawahi kanisani nitarudi later maana this is it, and I love JF Bwa! ha! ha! saafi sana!
Respect.
FMEs!
Pasco
1. Blue Ray lazima tufike mahali tukubaliane watu hatulingani katika suala zima la uelewa baadhi ya issue zinazohitaji deep thinking,
2. ni kweli humu JF tuna ma deep thinkers wachache na rundo la mamediocre, huwezi mbadili mediocre into deep thinkers,
3. haya ni mambo ya I.Q, tutaendelea kubishana hapa mpaka asubuhi. Tufike mahali tukubaliane kutokukubaliana ili tusonge mbele.
[/QUOTE]Uwepo wa tofauti ya uelewa its a fact, na facts are sturbon things, sijasema mimi na Blueray ndio tuna I.Q kubwa kushinda wote hapa JF. Nasisitiza tofauti za I.Q zinasababisha watu kuleta ubishi mkubwa kwenye vitu vinavyohitaji just simple logic. Mimi nimezungumzia tuu I.Q kwenye uelewa, hiyo ya high na low ni wewe unaileta, ila pia nakiri I belong to the low group.
-.
Kwa mtazamo wangu, comments zangu si matusi ya nguoni , ila tunarudi kule kule kwa uelewa na tafsiri hivyo, nawaomba radhi wanaJF wote ambao comments zangu hizo wamezitafsiri kama ni matusi ya nguoni.
-
RKwa vile huu ndio uelewa wako, umechukulia comments zangu kama matusi ya nguoni, kwanza nakuomba radhi wewe binafsi, na wengine wote wenye uelewa kama wako. Samahanini sana,Poleni sana wale walioumizwa na comments zangu, na natanguliza shukrani kwa walionielewa. Tuendelee na uchambuzi wa hoja.espect.
FMES!
Long live JF, Aluta Continua!
Kuna mkuu alishasema hapo juu, kama mtu uwezo wake wa kuelewa ni mdogo ni mdogo tu, hata ajitutumue vipi.
Na hata kanisa haliwezi kusaidia, nini kanisa, hapa hata kupunga madogoli bure tu.
Mtu logic simple ya if A then B haipandi unategemea utaelewa Collisional decoherence observed in matter wave interferometry ?