Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
.Kuna mkuu alishasema hapo juu, kama mtu uwezo wake wa kuelewa ni mdogo ni mdogo tu, hata ajitutumue vipi.
Na hata kanisa haliwezi kusaidia, nini kanisa, hapa hata kupunga madogoli bure tu.
Mtu logic simple ya if A then B haipandi unategemea utaelewa Collisional decoherence observed in matter wave interferometry?
Blueray, achana na mambo ya logic hapa, tuendelee kukata isues kichwa kichwa, na haya mabombastic unayotushushia sasa, unataka tuingie JF dictionary?.