TANESCO board split on MD Rashidi's fate


Dr Kitila,

Notwithstanding your vigezo......ni lazima tukubali Uongozi wa shirika kama TANESCO na mabadiliko ya utendaji kazi pamoja na uzalishaji na usambazaji (ukijumlisha na factors za kisiasa kama ulivyo-point out) hayaji kwa mkupuo........

Kunahitajika vision na misingi (sustainable ones) imara both kibiashara na kiutendaji, ukiangalia %ge ya wananchi walio na umeme imekuwa hivyo kwa muda gani na lini itakua.......ukijumuisha factors za SIASA, Utegemezi wa Mungu (Mvua), subbotage (maintenance, Wizi na mikataba mibovu).....only God knows ni lini tutakuwa na a reliable source ya umeme............

Kwa hiyo tutumie vigezo ulivyoweka bila kuacha misingi imara ya uzalishaji na ya kibiashara ofcourse with a vision.....it does not make sense kuwa kama DAWASCO ku-connect watu mabomba ya maji (connection ya maji) wakati maji huna or not reliable............

Inawezekana Dr. Rashidi alikuwa anafanya kazi ya kiutendaji kama inavyotakiwa.........Tatizo tulilonalo/nililonalo.........ni kuwa utamuitaje mtu BEST CEO wakati yuko associated na scandals kubwa kubwa tu at hand.........na Zitto akasema yeye hana tatizo kubadili mawazo endapo Dr. atahukumiwa hivyo................swali linakuja ni kwa standard zipi hizo leo unasema haya.........watu wakamuuliza Zitto.....mliposimama pale Mwembe Yanga kuwataja mafisadi........mlikuwa na maana gani?........hapa ndipo tunaposhindwa kuwaamini ninyi wanasiasa........
 

Jiulize swali dogo tu kama angeandikwa vibaya John Samwel Malecela, huyu jamaa angeweka maslahi ya taifa kwanza?

 

- Hilo mkuu ni tatizo la Zitto, sio lako wala la JF halituhusu ningekuelewa kama iwapo wewe na wenzako mngekuwa mme-raise hii ishu ya genuinity ya ID kwamba anayeingia hapa kwa jina la Zitto ndiye mbunge au sio yeye hili mngelisema mapema toka alipoingia hapa JF ningekubali argument yenu ya sasa kwamba ni valid,

- Zitto amejadili ishu nyingi sana humu JF hakukuwa na tatizo la kama ni yeye au sio, sasa leo mwandishi wa habari ameamua kuyapeleka haya majadiliano mbele kwa wananchi wengi wasio na mitandao ili wasome elimu ya juu zaidi ikichambuliwa juu ya taifa lao, allover sudden mnasema oooh no huyu aliyesema sio Zitto! Oohh sheria za uandishi zimevunjwa,

- Zitto, wanasiasa maarufu Duniani wanaheshimika kwa sababu moja tu nayo ni msimamo, ulianza vizuri sana wote tulikuuunga mkono believing kwamba una msimamo, ukaanza kuharibu mwenyewe na kujiiingiza kwenye kamati ya madini ya mafisadi, the next thing we know ukaanza kutetea Dowans, the next thing we know unataka kuwa Mwenyekiti wa Chadema, now unamtetea Rashid ambaye sio siri ni chaguo la mafisadi, what else now is left kwetu wananchi kukuamini tena?

- Milango ya kutoaminika na wananchi umeifungua mwenyewe, sasa kama nia yako ni kutaka kuifunga ili tukuamini tena then take full responsibility for your words and actions, badala ya kutuletea za "nia mbaya nonsense" na wewe sasa unakuwa kama Lowassa, oooh nimeonewa! Na kutuachia wananchi mijadala isiyokuwa na kichwa wala miguu! Kama Zitto anaamini kwamba maneno anayosema hapa JF hayana anything to do na msimamo wake as a politician to our nation then Zitto ana tatizo tena kubwa sana, na ni yeye mwenyewe basi anayewapa maadui zake risasi za kumuuua kisasa, na hasa wale wanaosema hajakomaa kisiasa!

- Unajua binafsi nimesikitishwa sana na hiki kitendo cha Zitto cha kususa kuandika tena hapa bila sababu ya msingi, amekifanya makusudi kutaka kutuvuruga vichwa tusijadili ukweli wa context ya maneno yake kwa taifa, badala yake tuvurugane on legality ya kuhamishia manenao yake kwenye magazeti, exactly what Lowassa did kususa Uwaziri Mkuu ghafla ili tusijadili context ya ripoti ya kamati ya Mwakyembe, badala yake tuanze kujadili nonesense za kuonewa au kutoonewa kwake that is unacceptable kwa kiongozi kama yeye aliyejaribu sana kutuamsha wananchi kuhusu mafisadi!

- Zitto akumbuke kwamba alipoziibua dataz za waziri wetu wa Madini kusaini mikataba iliyooza hotelini London, hatukumuuuliza legality ya zile dataz how they were obtained, isipokuwa taifa zima tulisimama naye kujadili the context ya alichokisema na hasa madhara yake kwa taifa letu, sasa leo na yeye akinukuliwa huku JF asilie kwamba kuna "nia mbaya" na sisi JF tusijiingize kwenye hii mitego ya wanasiasa kukwepa their responsibilities kwa kutumia ujanja wa legality, pamoja na kwamba so far Zitto hajakifanya ila kuna wanaojaribu kumfanyia! lakini hawawezi kufanikiwa kwa sababu hizi standards za juu kwa viongozi wa taifa ni yeye mwenyewe Zitto ndiye aliyezi-raise! sasa it a shame kwamba Zitto na baadhi ya wananchi kudhani kwamba Zitto hatakiwi kuishi kwa the same standards alizozi-raise yeye mwenyewe kiuongozi!

- Infact ni aibu kwetu JF hata kuwa na this kind of debate!

Respect.


FMEs!
 
Jiulize swali dogo tu kama angeandikwa vibaya John Samwel Malecela, huyu jamaa angeweka maslahi ya taifa kwanza?


- Mkuu ukishaanza kurusha names zisizohusika na topic maana yake ni moja tu huna hoja za kusimamia unachokisema, kama unataka kumjadili the love of JF Malecela na Mama Kilango anzisha thread yake, hii ni thread inayomuhusu Zitto na magazeti yaliweka habari zake kutoka hapa JF.

es!
 

- Mkuu hata baba yako angeweza kuandikwa vile vile, haya mnayotuletea ni mambo ya karatasi za MBA na PhD huko mashuleni, sio hapa JF tunapojali masilahi ya taifa, mambo ya legality za uandishi wa habari hazituhusu hapa JF, kinachotuhusu ni kama aliyesema ni Zitto au siye, ninaweza kuwaunga mkono kwenye hilo kama mngesimama na kusema huyu aliyeandika hapa sio Zitto mbunge, lakini eti kwa nini waandishi wamechukua maneno yake hapa na kuyaweka kwenye gazeti! that is Zitto's problem,

- Since unadai kwamba wewe ni msomi mwenye uelewa mkubwa sana, ninaomba unitajie kesi yoyote duniani iliyowahi kufanyika ambayo inafanana na unayoyasema kwamba kuna mtu au kiongozi aliandika maneno somwhere yakawa quoted bila his okay, akafanikiwa kushinda kwenye sheria naomba nitajie kesi moja tu mkuu iliyofanyika anywhere duniani na sio lazima iwe Tanzania!

Respect.


FMEs!
 
unajua hapo ndipo tunaanza kujiuliza labda kulikuwa na ka ukweli fulani kalichomfanya Zitto aenguliwe kwenye mchakato wa kugombea uenyekiti pale Chadema, wazee walishaona chama kingepotea
 

- Mkuu Pasco, sikutegemea hata siku moja unaweza kuja hapa na maneno ya low kiasi hiki, sasa kama wewe na Bluray mna IQ kubwa sana kushinda wote hapa JF then mnatafuta nini kuendelea kujadili na sisi wenye low IQ?

- Ni ustaarabu tu ndugu yangu ungetuomba radhi wana-JF kwa haya matusi ya nguoni, tushindane kihoja lakini sio kutukanana just because huwezi kupata your way na hoja zako! Nimesikitishwa sana mkuu maana wewe huwa ni namba moja sana kule chini inapoanzishwa mijadala ya kulaumu wengine kwa madai ya abusive language

- Sasa mkuu iombe radhi forum na haya matusi yako ya nguoni, ni ushauri wa bure tu mkuu!

Respect.


FMES!
 

thank you very much kwa hayo maneno hapo juu
 

- Mkulu Dr. Kitila, ubarikiwe sana maana haya yako ni maneno yaliyo mbele sana kabla ya wakati wake, ndio maana huwa ninakufagilia sana kwamba PhD yako ni ya kweli na ni old school pia, keep it up!

- Tizama hoja bwana, haina matusi wala abusive language, inasimama yenyewe sasa usuke au unyoe, lakini huwezi badili anything, huwezi punguza anything, isipokuwa ina a lot of room for expansionism, oooh I love JF!

Respect.


FMEs!
 
It is one thing kama mtu unataka kuongelea ufanisi wa Dr. Rashid per se, bila kuhusisha ki article hiki uchwara kisicho kichwa wala miguu.

It is quite another kutumia kiarticle hiki kisichojua maadili wala sheria za uandishi.

Ukitumia ki article hiki kum link Zitto halafu watu wakakuita bongolala au una IQ ndogo, wala usiseme kwamba watu wanakutusi, itakuwa sawa sawia tu.

Utakuwa huna tofauti na wale watu wanaofanya roadside courts, kuhukumu watu papo kwa hapo na kuwapiga mawe, in one word, primitive.

No apologies.
 

- Kwa kawaida huwa una dharau na majivuno sana lakini tunaoujua ukweli huwa tunatikisa vichwa tu kwamba exactly hiyo dharau ni ya nini mbona hamna kitu na inachekesha sana, kama sio huruma sana!

- i mean kama kweli wewe mkuu ubongo wako umeamka na una big IQ basi mimi siihitaji kabisa keep it! na on the serious note, no apologies on this! Bwa! ha! ha!

- kama unaijua kesi yoyote duniani inayofanana na hoja yako ingetusaidia sana ukaiweka hapa ili tujifunze sheria za uandishi ambazo wewe unaonekana kuzijua sana kuliko wengine wote hapa JF na hata Zitto mwenyewe ambaye so far hajalalamikia hiyo sheria, maana kuandikwa kwa "nia mbaya" sio kuvunjwa sheria!

Respect
.

FMEs!
 

kwa standard zipi hizo kutokea hapa JF? .........mnaweza kututhibitishia kuwa Zitto wa JF si Zitto Mbunge?....kama kuna mtu hapa anajifanya Zitto na aliongelea ufisadi kuanzia Buzwagi and so on.........then mtuambie

Ndugu yangu mimi kusema ni biased story ni moja tu ya mitizamo yangu kuhusu story nzima...ukisoma vizuri post yangu utalielewa hilo

..........Ni utumbo fulani ambao mtu ambaye haelewi umuhimu wa proper sourcing tu anayeweza kuu entertain.

Ukisema kuuza magazeti kuna technicalities zake una sound kama unatetea utumbo huu, unless nina ku misread ujieleze una maana gani.

rudia kusoma post yangu utanielewa..........na wala haimaanishi kutetea "utumbo" kama unavyotafsiri..........

Upo sawa kabisa
Ni kama leo aje mtu hapa ajiweke JK, then aandike kitu vyombo vya habari vim quote.

Me sijui sana mambo ya journalism, ile je JF inaweza ikawa proper sourcing kweli?

Mlikuwa wapi kupiga kelele huyu Zitto wa JF alipojitokeza hapa JF?

what do you mean proper sourcing?...........Hivi Spika Sitta alipotuungurumia JF kuwa ni mtandao feki kwa kuweka data za akina KAGODA et al.........hebu jiulize ni nini kilitokea baada ya hapo...........
 


- Mkulu Ogah, saafi sana endeleza libeneke mkuu mimi ninawahi kanisani nitarudi later maana this is it, and I love JF Bwa! ha! ha! saafi sana!

Respect.


FMEs!
 
- Mkuu Pasco, sikutegemea hata siku moja unaweza kuja hapa na maneno ya low kiasi hiki, sasa kama wewe na Bluray mna IQ kubwa sana kushinda wote hapa JF then mnatafuta nini kuendelea kujadili na sisi wenye low IQ?
Uwepo wa tofauti ya uelewa its a fact, na facts are sturbon things, sijasema mimi na Blueray ndio tuna I.Q kubwa kushinda wote hapa JF. Nasisitiza tofauti za I.Q zinasababisha watu kuleta ubishi mkubwa kwenye vitu vinavyohitaji just simple logic. Mimi nimezungumzia tuu I.Q kwenye uelewa, hiyo ya high na low ni wewe unaileta, ila pia nakiri I belong to the low group.
- .
Kwa mtazamo wangu, comments zangu si matusi ya nguoni , ila tunarudi kule kule kwa uelewa na tafsiri hivyo, nawaomba radhi wanaJF wote ambao comments zangu hizo wamezitafsiri kama ni matusi ya nguoni.

-
- Sasa mkuu iombe radhi forum na haya matusi yako ya nguoni, ni ushauri wa bure tu mkuu!

Respect.

FMES![/quote]

Kwa vile huu ndio uelewa wako, umechukulia comments zangu kama matusi ya nguoni, kwanza nakuomba radhi wewe binafsi, na wengine wote wenye uelewa kama wako. Samahanini sana,Poleni sana wale walioumizwa na comments zangu, na natanguliza shukrani kwa walionielewa. Tuendelee na uchambuzi wa hoja.
Long live JF, Aluta Continua!
 
kutumia approach ya IQ ili kujiona kuwa una hoja bora zaidi ya mwingine pia inaonyesha ni jinsi gani mhusika alivyo na IQ ndogo.........
 

- Mkulu Ogah, saafi sana endeleza libeneke mkuu mimi ninawahi kanisani nitarudi later maana this is it, and I love JF Bwa! ha! ha! saafi sana!

Respect.


FMEs!


Kuna mkuu alishasema hapo juu, kama mtu uwezo wake wa kuelewa ni mdogo ni mdogo tu, hata ajitutumue vipi.

Na hata kanisa haliwezi kusaidia, nini kanisa, hapa hata kupunga madogoli bure tu.

Mtu logic simple ya if A then B haipandi unategemea utaelewa Collisional decoherence observed in matter wave interferometry?
 
[/QUOTE]

- Pasco yote hapo juu ni maneno mwenyewe yako haya tuendelee kukata ishus!

FMEs!
 

- Uelewa mkubwa na mdogo huonyeshwa na maisha ya claimers, kabla ya maandishi yao, ndipo tunapotikisa vichwa kwamba kulikoni! Bwa! ha! ha!

FMEs!
 
- Pasco yote hapo juu ni maneno mwenyewe yako haya tuendelee kukata ishus!

FMEs![/QUOTE]

Asante Mkuu, FMES, tuendelee kukata ishus!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…