TANESCO board split on MD Rashidi's fate

TANESCO board split on MD Rashidi's fate

imebidi nikujibu kaka!!

Mambo hayako kama hivyo unavyofikiri hasa kwa nchi kama Tanzania.. Unaweza kuwa hard worker lakini watu wakakuslow down. Unapo zungumzia Tanesco usimuangalie Idris rashid pekee yake. Anaweza kuwa mtendaji mzuri lakini wanaomzunguka wanamlet down. Watanzania wengi baada ya kupata elimu kisha kazi nzuri wanachojali ni familia zao basi na si maendeleo ya nchi. Kama una knowledge na umeme unatajua wazi kuwa Tanzania si nchi ya kuwa na matatizo ya umeme iwapo tu watu watakuwa serious na wanachokifanya. Inabidi mentality ya waswahili ibadilike.. chuki, ubinafsi , uvivu na uzembe ukiondoka nchi itandelea na matatizo kama haya yataondoka.

Ndiyo maana ya uongozi,Mkuu. Kiongozi mahiri ni yule anayeweza kuwahamasisha wale wanaomzunguka kuona mafanikio yake ndiyo yao. Kiongozi mahiri ni yule ambae anawatema wale wanaom-let down. Kiongozi mahiri hata siku moja hazungumzii ati anaangushwa na wanaomzunguka. Kiongozi mahiri akiona anawekewa vizingiti kiasi cha kwamba hawezi kupata mafanikio aliyotarajia, anaachia ngazi. Huo ndio uongozi.

Amandla.......
 
let us assume nakubaliana na nyie tumtoe Dr.Idrissa je ni sababu zp za kumtoa Dr.Idrissa Tanesco nipeni moja???

Tumtoe Rashid Tanesco?!, sisi ni nani?. Sababu moja kubwa ni kuwa Dr.Rashidi muda wake Tanesco umekwisha 30/11/2009. Kuanzia tarehe 01/Dec.2009, Dr. Rashid analikizo ya lazima ya kustaafu ya siku 28 mpaka 31/12/2009. Mkurugenzi Mkuu Mtendaji mpya wa Tanesco anatakiwa kuripoti kazini tarehe 02/01/2010.

Ni kweli kitendo cha serikali kuitangaza nafasi yake magazetini bila kumshirikisha, just for acknowledgmet, ni kumdhalilisha kiaina, waziri Ngeleja akasema wazi nafasi imetangazwa, na yeye kama bado anaitaka, aiombe kama waombaji wengine washindanishwe wampate aliye bora zaidi, Dr. Rashidi alijinyamazia na kuamua kutoomba tena.

Wakati mchakato wa kumpata bosi mpya Tanesco ukiendelea, ndipo zilipoibuka hizi habari za Dr. Rashid kupigiwa chapuo kuendelea, kulikoibua watetezi wake sambamba na udhaifu wake. Hivyo kimsing hakuna mwenye mpango wa kumtoa Dr. Rashidi Tanesco, bali public opinion imeelemea kuwa aende Rashidi aende, muda wake umetosha!.
 
imebidi nikujibu kaka!!

Mambo hayako kama hivyo unavyofikiri hasa kwa nchi kama Tanzania.. Unaweza kuwa hard worker lakini watu wakakuslow down. Unapo zungumzia Tanesco usimuangalie Idris rashid pekee yake. Anaweza kuwa mtendaji mzuri lakini wanaomzunguka wanamlet down. Watanzania wengi baada ya kupata elimu kisha kazi nzuri wanachojali ni familia zao basi na si maendeleo ya nchi. Kama una knowledge na umeme unatajua wazi kuwa Tanzania si nchi ya kuwa na matatizo ya umeme iwapo tu watu watakuwa serious na wanachokifanya. Inabidi mentality ya waswahili ibadilike.. chuki, ubinafsi , uvivu na uzembe ukiondoka nchi itandelea na matatizo kama haya yataondoka.

Nduguzanguni eeh,

Hizi habari za "Rashidi ni kiongozi mzuri ila anazungukwa na watu/ system mbaya" nilishaziongelea waliposema "Kikwete ni rais mzuri ila amezungukwa na washauri wabaya".Wazee wazoefu wanaposema hivi wengi wao hawamaanishi hivyo, hii ni euphemism ya kusema "Kikwete ni kiongozi mbovu" katika a rigid system ambaye si rahisi watu kusema hivyo. After all kuwa kiongozi mzuri ni pamoja na kutengeneza na kuwa na team/ mazingira mazuri, ondoa gozi gozi wote.Ukishindwa kuwaondoa huwezi kusema kwamba excuse yako ni team yako.Kinachotakiwa ni results, wenzao huko Japan CEO akishindwa kuleta results anajiua.I am not saying they should too, lakini hii habari ya kulialia "fulani mzuri, washauri wake wabaya" ni baloney ambayo haitakiwi kupewa time of day katika Tanzania ya leo.

Sasa nashangaa watu bado wanaendeleza hii misemo hapa.

Kwenye hili la ukarabati wa nyumba -ambalo wengine wanaweza kulidharau, lakini liko indicative, na linaweza kuwa tip of the iceberg- Rashidi hawezi kumlaumu mtu yeyote.

Rashid anasifika kwa kuwa na msimamo usioyumba, amewahi kumuandikia rais Kikwete barua ya kujiuzulu on principle. Zitto na watu wengine wamemsifia kama CEO asiyepelekwa pelekwa na wanasiasa- anakataa kutoa campaign money kwa CCM- Kwa hiyo msitake kutuambia kwamba anayumbishwa na watendaji wake wa TANESCO au wakubwa wake Wizarani/ serikalini. Huyu mtu ana guts, kwa hiyo, haya mambo yote ya kukarabati nyumba kayapitisha mwenyewe, na hata kama ka succumb to pressure, basi hiyo ndiyo weakness isiyotakiwa katika uongozi.

Nitarudia tena kusema katika kampuni, the buck stops with the CEO. Na madudu haya ya kukarabati nyumba moja kwa shilingi milioni 650 yametokea under Rashidi. Sasa tukisema wazee hawa wamekaanga nyama kwa mafuta yake yenyewe tutakatalikwa? Jilipe milioni 650 kukarabati nyumba, kwapua milioni 80 katika hizo kuinunua nyumba hiyo hiyo, fanya ukarabati wa hata shilingi milioni 100, unabakia na milioni 470, hata ukigawana na washahi nusu yazo bado hulali njaa.

Huyu mtu hatakiwi kuwa lobbied for re-appointment, anatakiwa kuchunguzwa kwa ajili ya kushtakiwa.
 
Nduguzanguni eeh,

Huyu mtu hatakiwi kuwa lobbied for re-appointment, anatakiwa kuchunguzwa kwa ajili ya kushtakiwa.
.
Blueray, nadhani baada ya hizi kelele, sidhani tena kama bado ana ule mpango wa kujiuzia hiyo nyumba bado upo, maana itageuka haunted house na majinamizi ya vilio vya watanzania.

Kwa taarifa tuu, baadhi ya waserikali waliojiuzia zile nyumba, za wakulu zilikarabatiwa kwanza kwa mamilioni ndipo wakapewa kama sadaka, hivyo haikuwa ajabu kwa Rashidi kujijengea hekalu la kustaafu na kujiba sadaka kama wengine.
 
Hili nalijua,

Sasa mtu huyu ndiye yule yule anayesemwa ana principles na integrity ya hali ya juu?

Ethics zake ziko wapi? Heshima yake kwa watanzania iko wapi? is this the best we can do?
 
Hili nalijua,

Sasa mtu huyu ndiye yule yule anayesemwa ana principles na integrity ya hali ya juu?

Ethics zake ziko wapi? Heshima yake kwa watanzania iko wapi? is this the best we can do?
.
Inawezekana ni kweli Dr. Rashid ni mtu wa principles, ethics na integrity, lets assume ni bodi ndiyo iliyotaka kufanya hayo yote for him, kama kwenye zawadi za maharusi zinapoamuliwa na kamati na sio maharusi wenyewe, lets give him the benefits of doubt, alikuwa ni bwana harusi na bodi ndio kamati, ikiamua kumzawadia, yeye angefanyaje?
 
Mtu mwenye principle za kweli anakataa, na anawaambia mkinipa perks zilizo outrageous nitazikataa.

Hizo ndizo principles.

Sio watoto wanakaa chini hawana madawati nyumba inakarabatiwa kwa - check this, not 65 million, not 100 million, not 200 million, not 300 million, not 400 million, not 500 million, not 600 million- but 650 million!

Huu wizi wa mchana kaupitisha mtu halafu mna audacity ya kumuita ana integrity?
 
.
Inawezekana ni kweli Dr. Rashid ni mtu wa principles, ethics na integrity, lets assume ni bodi ndiyo iliyotaka kufanya hayo yote for him, kama kwenye zawadi za maharusi zinapoamuliwa na kamati na sio maharusi wenyewe, lets give him the benefits of doubt, alikuwa ni bwana harusi na bodi ndio kamati, ikiamua kumzawadia, yeye angefanyaje?

Bodi hawana uwezo huo. Kwanza haina bajeti, pili haina utaalam na tatu, hairuhusiwi kitaratibu. Mapendekezo kama haya yanatoka kwenye menejimenti kwenda kwenye bodi kupata baraka zake. Huu ni mzigo wa menejimenti ikiongozwa na Dr. Idriss. Vyote hivi haviwezi kwenda kwenye bodi bila baraka za CEO. Mtu aliyeruhusu uchafu huu si mtu wa principles, ethics au/na integrity. Period.

Amandla.............
 
.
Inawezekana ni kweli Dr. Rashid ni mtu wa principles, ethics na integrity, lets assume ni bodi ndiyo iliyotaka kufanya hayo yote for him, kama kwenye zawadi za maharusi zinapoamuliwa na kamati na sio maharusi wenyewe, lets give him the benefits of doubt, alikuwa ni bwana harusi na bodi ndio kamati, ikiamua kumzawadia, yeye angefanyaje?

Pasco, bodi ya TANESCO haikuwa na habari - huu ulikuwa ni uamuzi wa CEO na wasaidizi wake bila kuishirikisha bodi na hiyo nayo ni sababu kubwa ya sisi kudai hatufai. Hizo nyumba zingine ni za wakurugenzi wa idara mbalimbali za TANESCO - swali jeuri kama hiyo anaitoa wapi Dr. Idris Rashidi !
 
.... but The whole country imeoza kusema la ukweli na si Tanesco peke yake. ....

Mdondoaji polepole!
Sio nchi nzima iliyooza!

...Lakini shilingi milioni 650 kukarabati nyumba moja ni scandal...
CEO.
Hakika! Na hapa ndo ghubu la "wenye Nyumba" lilipo hawakubaliani na ukarabati ghali kiasi hicho.

.. chuki, ubinafsi , uvivu na uzembe ukiondoka nchi itandelea na matatizo kama haya yataondoka.

Good!
Tunaanzaje kuondoa hizo takataka? Ushauri pls!
 
Ninavyo mfahamu Dr Rashid ni makini sana. Sijui abadilike siku hizi

Huyu bwana hana umakini wowote ni MWIZI mzoefu anayejicha kwa kusali sala TANO!!! Ngumbulu analipa fadhila kwa Rashid kwani ndiye aliyempigia debe akateuliwa kuwa Mwenyekiti wa board.
 
Tumtoe Rashid Tanesco?!, sisi ni nani?. Sababu moja kubwa ni kuwa Dr.Rashidi muda wake Tanesco umekwisha 30/11/2009. Kuanzia tarehe 01/Dec.2009, Dr. Rashid analikizo ya lazima ya kustaafu ya siku 28 mpaka 31/12/2009. Mkurugenzi Mkuu Mtendaji mpya wa Tanesco anatakiwa kuripoti kazini tarehe 02/01/2010.

Ni kweli kitendo cha serikali kuitangaza nafasi yake magazetini bila kumshirikisha, just for acknowledgmet, ni kumdhalilisha kiaina, waziri Ngeleja akasema wazi nafasi imetangazwa, na yeye kama bado anaitaka, aiombe kama waombaji wengine washindanishwe wampate aliye bora zaidi, Dr. Rashidi alijinyamazia na kuamua kutoomba tena.

Wakati mchakato wa kumpata bosi mpya Tanesco ukiendelea, ndipo zilipoibuka hizi habari za Dr. Rashid kupigiwa chapuo kuendelea, kulikoibua watetezi wake sambamba na udhaifu wake. Hivyo kimsing hakuna mwenye mpango wa kumtoa Dr. Rashidi Tanesco, bali public opinion imeelemea kuwa aende Rashidi aende, muda wake umetosha!.

Public opinion ipi labda mlipiga wewe na mnaosupport humu JF na majungu yenu itisheni Public oppinion muone jinsi huyu mzee anavyokubalika na walalahoi.

Pili huyu bwana hapigiwi debe bali anatakiwa kuna watu wanamchukia na allegation zao zisizo za msingi kwasababu jamaa amewabania njia zao za kula. BOT kwa wale waliofanya kazi BOT alijulikana kama Chuma akiwabania wakubwa ulaji yeye na msaidizi wake Mbaye wakatimuliwa wote alipokuja mkapa.

Eti Public Opinion mlipiga mkiwa peke yenu itisheni public opinion muone jinsi walalahoi wanavyompenda huyu mzee

Halafu nilisema nitajitoa ndani huu mjadala lakini inabidi nirudi maana kuna watu wanajiitia wanaufahamu utawala bora. Ok hebu nifahamisheni hizo ethics za kazi zipi Idrissa alizoziharibu. Afadhali yake hufanya maamuzi by the book kuliko the late Dr Balali aliyeidhinisha malipo ya Billion 46 kwa Kagoda pasina kuwa na Karatasi yeyote!!!! unasema eti ethics za kazi!!!!. TRA wanajiuzia malandcruiser kwa bei unrealistic kabisa unakuta landcruiser la 2007 linauzwa milioni 10 halafu ukienda siku ya auction yote yameshauzwa wamechukua ndugu zake akina Kitilya na wanene wengine TRA unadai ethics za kazi???

Tuweni wakweli badala ya kuwa mnaleta blah blah hapa
 
Sijaileta kutafuta sympathy but rather naleta kutetea haki ya mtu. Mnadai kuwa alitumia 650 million hamsemi zilikuwamo katika budget au la??? Pili mnadai kuwa amejiuzia nyumba million 80 lakini hamna evidence mnadai mbunge alizungumza bungeni hilo jambo so what!!!

Halafu mnasema public opinion haimtaki Rashid hiyo public opinion mlipiga wenyewe hatuko pamoja na nyie unless mna hidden agenda yenu. Mie Rashid hanihusu but mnyonge mnyongeni haki yake mpeni tuache majungu
 
Mdondoaji, there is no shame kumpenda mtu, Mkuu. Kwako wewe hata angetumia bilioni moja kununua maua ya plastiki hakuna tatizo ili mradi taratibu zimefuatwa? Hilo shirika ni PUBLIC na anawajibika kwa walala hoi wote waliomo katika nchi hii na si kwa aliyemweka peke yake. Ndiyo maana wakina Bluray wanasisitiza kuwa katika nchi maskini kama ya kwetu matumizi kama hayo ni maovu hata kama yamefuata taratibu zote za procurement. Pili, wajibu mkubwa wa Tanesco ni kutoa na kusambaza nishati hiyo kwa wananchi wa Tanzania pamoja na wale wanaoishi humo ambao si raia. Lengo lake kuu si kuongeza mapato kwa serikali kama unavyotaka tuamini. Na ni kwenye hili ndio tunapima utendaji wa CEO wake. bahati mbaya, kwa mtazamo wetu wengine, huyu unayemtetea ameshindwa. Ndiyo maana tunasema awapishe wengine.

Amandla......
 
Wakuu naleta some facts za umeme katika baadhi ya nchi duniani ili watu tukijipima katika arguments zetu na tufahamu tunazungumzia nini hasa.
Bado umeme tunaotumia Tanzania ni mdogo sana, tena sana
:: World Electricity - consumption</SPAN>
This entry consists of total electricity generated annually plus imports and minus exports, expressed in kilowatt-hours. The discrepancy between the amount of electricity generated and/or imported and the amount consumed and/or exported is accounted for as loss in transmission and distribution.Country

Electricity - consumption(kWh) Afghanistan 1.01 billion kWh (2007 est.) Albania 3.603 billion kWh (2007 est.) Algeria 28.34 billion kWh (2007 est.) Angola 3.173 billion kWh (2007 est.) Antigua and Barbuda 102.3 million kWh (2007 est.) Argentina 99.21 billion kWh (2007 est.) Australia 222 billion kWh (2007 est.) Bahamas, The 1.902 billion kWh (2007 est.) Bahrain 10.1 billion kWh (2007 est.) Bangladesh 21.38 billion kWh (2007 est.) Barbados 939.9 million kWh (2007 est.) Belgium 84.88 billion kWh (2007 est.) Benin 597 million kWh (2007 est.) Bosnia and Herzegovina 8.488 billion kWh (2007 est.) Botswana 2.648 billion kWh (2007 est.) Brazil 404.3 billion kWh (2007 est.) Canada 536.1 billion kWh (2007 est.) Cape Verde 232.5 million kWh (2007 est.) Central African Republic 107 million kWh (2007 est.) Chad 93 million kWh (2007 est.) Chile 57.29 billion kWh (2007 est.) China 2.835 trillion kWh (2007 est.) Colombia 38.59 billion kWh (2007 est.) Comoros 20.46 million kWh (2007 est.) Congo, Democratic Republic of the 5.997 billion kWh (2007 est.) Congo, Republic of the 471 million kWh (2007 est.) Cote d'Ivoire 3.231 billion kWh (2007 est.) Croatia 15.42 billion kWh (2007 est.) Cuba 13.93 billion kWh (2007 est.) Cyprus 4.277 billion kWh (2007 est.) Czech Republic 61.65 billion kWh (2007 est.) Denmark 35.79 billion kWh (2007 est.) Djibouti 260.4 million kWh (2007 est.) Ecuador 9.888 billion kWh (2007 est.) Egypt 104.1 billion kWh (2007 est.) El Salvador 4.676 billion kWh (2007 est.) Equatorial Guinea 26.04 million kWh (2007 est.) Eritrea 228 million kWh (2007 est.) Ethiopia 3.13 billion kWh (2007 est.) European Union 2.884 trillion kWh (2007 est.) Finland 86.9 billion kWh (200 France 447.2 billion kWh (2007 est.) Gabon 1.446 billion kWh (2007 est.) Gambia, The 148.8 million kWh (2007 est.) Gaza Strip 230,000 kWh (2005) Germany 547.3 billion kWh (2007 est.) Ghana 5.702 billion kWh (2007 est.) Greenland 302.3 million kWh (2007 est.) Guatemala 7.115 billion kWh (2007 est.) Guinea 790.5 million kWh (2007 est.) Guinea-Bissau 60.45 million kWh (2007 est.) Holy See (Vatican City) NA kWh Honduras 4.696 billion kWh (2007 est.) Hong Kong 44.6 billion kWh (2008 est.) Hungary 37.77 billion kWh (2007 est.) Iceland 11.22 billion kWh (2007 est.) India 568 billion kWh (2007 est.) Indonesia 119.3 billion kWh (2007 est.) Iran 153.8 billion kWh (2007 est.) Iraq 39.88 billion kWh (2008 est.) Ireland 25.12 billion kWh (2007 est.) Israel 46.15 billion kWh (2007 est.) Italy 315 billion kWh (2007 est.) Jamaica 6.345 billion kWh (2007 est.) Japan 1.007 trillion kWh (2007 est.) Jordan 10.4 billion kWh (2007 est.) Kenya 4.863 billion kWh (2008 est.) Korea, North 17.49 billion kWh (2007 est.) Korea, South 385.1 billion kWh (2008 est.) Kuwait 40.21 billion kWh (2007 est.) Lesotho 516.9 million kWh (2007 est.) Liberia 325.5 million kWh (2007 est.) Libya 22.17 billion kWh (2007 est.) Luxembourg 6.525 billion kWh (2007 est.) Macau 3.311 billion kWh (2008 est.) Macedonia 7.358 billion kWh (2007 est.) Madagascar 971.4 million kWh (2007 est.) Malawi 1.572 billion kWh (2007 est.) Malaysia 99.25 billion kWh (2007 est.) Maldives 190.7 million kWh (2007 est.) Mali 479 million kWh (2007 est.) Malta 1.832 billion kWh (2007 est.) Mauritania 386.2 million kWh (2007 est.) Mauritius 2.158 billion kWh (2007 est.) Mayotte 139.2 million kWh (2005) Mexico 200.9 billion kWh (2007 est.) Micronesia, Federated States of 178.6 million kWh (2002) Moldova 4.37 billion kWh (2007 est.) Monaco NA kWh Mongolia 3.491 billion kWh (200 Montenegro 18.6 million kWh (2005) Montserrat 20.46 million kWh (2007 est.) Morocco 20.78 billion kWh (2007 est.) Mozambique 10.16 billion kWh (2007 est.) Namibia 3.175 billion kWh (2007 est.) Nauru 28.83 million kWh (2007 est.) Nepal 2.243 billion kWh (2007 est.) Netherlands 110.2 billion kWh (2007 est.) Netherlands Antilles 1.013 billion kWh (2007 est.) New Caledonia 1.697 billion kWh (2007 est.) New Zealand 39.24 billion kWh (2007 est.) Nicaragua 2.569 billion kWh (2007 est.) Niger 589.5 million kWh (2007 est.) Nigeria 19.21 billion kWh (2007 est.) Niue 2.79 million kWh (2007 est.) Norfolk Island NA kWh Northern Mariana Islands 48,300 kWh (January 2009) Norway 128.8 billion kWh (2008 est.) Oman 11.36 billion kWh (2007 est.) Pakistan 72.2 billion kWh (2007 est.) Panama 5.17 billion kWh (2007 est.) Papua New Guinea 2.683 billion kWh (2007 est.) Paraguay 5.337 billion kWh (2007 est.) Peru 28.97 billion kWh (2008 est.) Philippines 48.96 billion kWh (2007 est.) Poland 129.3 billion kWh (2007 est.) Portugal 48.78 billion kWh (2007 est.) Puerto Rico 22.06 billion kWh (2007 est.) Qatar 13.73 billion kWh (2007 est.) Romania 49.44 billion kWh (2007 est.) Russia 840.4 billion kWh (2007 est.) Rwanda 231.6 million kWh (2007 est.) Saint Vincent and the Grenadines 124.4 million kWh (2007 est.) Samoa 101.4 million kWh (2007 est.) Sao Tome and Principe 17.67 million kWh (2007 est.) Saudi Arabia 165.1 billion kWh (2007 est.) Senegal 1.384 billion kWh (2007 est.) Serbia NA kWh Seychelles 232.5 million kWh (2007 est.) Sierra Leone 74.4 million kWh (2007 est.) Singapore 36.6 billion kWh (2007 est.) Slovakia 26.81 billion kWh (2007 est.) Slovenia 13.5 billion kWh (2007 est.) Solomon Islands 66.03 million kWh (2007 est.) Somalia 260.4 million kWh (2007 est.) South Africa 215.1 billion kWh (2007 est.) Spain 276.1 billion kWh (2008 est.) Sri Lanka 7.946 billion kWh (2007 est.) Sudan 3.438 billion kWh (2007 est.) Suriname 1.467 billion kWh (2007 est.) Swaziland 1.266 billion kWh (2007 est.) Sweden 134.5 billion kWh (2007 est.) Switzerland 57.62 billion kWh (2007 est.) Syria 27.35 billion kWh (2007 est.) Taiwan 233 billion kWh (2008 est.) Tajikistan 17.8 billion kWh (200 Tanzania 3.182 billion kWh (2007 est.) Thailand 129.5 billion kWh (2007 est.) Timor-Leste kWh NA Togo 640 million kWh (2007 est.) Tokelau NA kWh Tonga 39.99 million kWh (2007 est.) Trinidad and Tobago 7.034 billion kWh (2007 est.) Tunisia 11.9 billion kWh (2007 est.) Turkey 153.7 billion kWh (2007 est.) Turkmenistan 10.45 billion kWh (2007 est.) Turks and Caicos Islands 11.16 million kWh (2007 est.) Uganda 2.068 billion kWh (2007 est.) Ukraine 153.1 billion kWh (2007 est.) United Arab Emirates 65.98 billion kWh (2007 est.) United Kingdom 345.8 billion kWh (2007 est.) United States 3.873 trillion kWh (2008 est.) Uruguay 7.14 billion kWh (2007 est.) Uzbekistan 41.94 billion kWh (2007 est.) Vanuatu 39.06 million kWh (2007 est.) Venezuela 83.02 billion kWh (2007 est.) Vietnam 59.3 billion kWh (2007 est.) Virgin Islands 722 million kWh (2007 est.) Wallis and Futuna NA kWh West Bank 3.265 billion kWh Western Sahara 83.7 million kWh (2007 est.) World 17.13 trillion kWh (2007 est.) Yemen 4.133 billion kWh (2007 est.) Zambia 8.838 billion kWh (2007 est.) Zimbabwe 10.89 billion kWh (2007 est.)

Source: CIA World Fact book
Unga wenyewe robo wapishi na washangiliaji kibao, so much for the Best CEO ever in Tanzania
 
Nduguzanguni eeh,

Hizi habari za "Rashidi ni kiongozi mzuri ila anazungukwa na watu/ system mbaya" nilishaziongelea waliposema "Kikwete ni rais mzuri ila amezungukwa na washauri wabaya".Wazee wazoefu wanaposema hivi wengi wao hawamaanishi hivyo, hii ni euphemism ya kusema "Kikwete ni kiongozi mbovu" katika a rigid system ambaye si rahisi watu kusema hivyo. After all kuwa kiongozi mzuri ni pamoja na kutengeneza na kuwa na team/ mazingira mazuri, ondoa gozi gozi wote.Ukishindwa kuwaondoa huwezi kusema kwamba excuse yako ni team yako.Kinachotakiwa ni results, wenzao huko Japan CEO akishindwa kuleta results anajiua.I am not saying they should too, lakini hii habari ya kulialia "fulani mzuri, washauri wake wabaya" ni baloney ambayo haitakiwi kupewa time of day katika Tanzania ya leo.

Sasa nashangaa watu bado wanaendeleza hii misemo hapa.

Kwenye hili la ukarabati wa nyumba -ambalo wengine wanaweza kulidharau, lakini liko indicative, na linaweza kuwa tip of the iceberg- Rashidi hawezi kumlaumu mtu yeyote.

Rashid anasifika kwa kuwa na msimamo usioyumba, amewahi kumuandikia rais Kikwete barua ya kujiuzulu on principle. Zitto na watu wengine wamemsifia kama CEO asiyepelekwa pelekwa na wanasiasa- anakataa kutoa campaign money kwa CCM- Kwa hiyo msitake kutuambia kwamba anayumbishwa na watendaji wake wa TANESCO au wakubwa wake Wizarani/ serikalini. Huyu mtu ana guts, kwa hiyo, haya mambo yote ya kukarabati nyumba kayapitisha mwenyewe, na hata kama ka succumb to pressure, basi hiyo ndiyo weakness isiyotakiwa katika uongozi.

Nitarudia tena kusema katika kampuni, the buck stops with the CEO. Na madudu haya ya kukarabati nyumba moja kwa shilingi milioni 650 yametokea under Rashidi. Sasa tukisema wazee hawa wamekaanga nyama kwa mafuta yake yenyewe tutakatalikwa? Jilipe milioni 650 kukarabati nyumba, kwapua milioni 80 katika hizo kuinunua nyumba hiyo hiyo, fanya ukarabati wa hata shilingi milioni 100, unabakia na milioni 470, hata ukigawana na washahi nusu yazo bado hulali njaa.

Huyu mtu hatakiwi kuwa lobbied for re-appointment, anatakiwa kuchunguzwa kwa ajili ya kushtakiwa.

Mkuu, heshima kwako. Hapo umefunga kazi.
Kwa faida yangu tu, hivi hizo nyumba walizouziana kina Dr Idris, na Mhando naye yumo, kwani kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa akiwa Mbeya aliuziwa nyumba ya serikali aliyokuwa anaishi!

Kuhusu facts watu wanazotaka, ni kwamba mimi sina umeme, shangazi na wajomba zangu kule Malelumango hawana umeme, wazee wetu kule Shinyanga hawana umeme hadi vikongwe wanauawa wakidhaniwa wachawi kutokana na wekundu wa macho yao unaotokana na kuishi na moshi miaka yao yote, sio zaidi ya hapo wazee.
 
Kamanda mie sina ukaribu na Idrissa wala hanisaidii kwa thumni yake anayoipata kwasababu natafuta mshiko mwenyewe. But let us go back to main topic lets assume imewekwa billioni moja ya maua. Unadhani rashidi alikuwa mwendawazimu akasema maua wekeni billioni moja??? wahasibu wake walikuwa wapi?, Wasaidizi walikuwa wapi?, Board iliyopitisha maamuzi ilikuwa wapi?

Pili katika contract theory ndani ya finance wanasema hivi usually contract mnazoingia mara nyingi zinakuwaga ni incomplete na hii inasababishwa na dissatisfaction ndani yakazi, perks, overcompensation kwa mfanyakazi na kwa mwaajiri anapokuajiri huangalia vyeti vyako na track record yako sasa tatizo la bongo mtu anapoambiwa amuandikia recomendation huanza kumfagilia na matokeo yake shirika huajiri mtu bomu!! sasa sidhani Idrissa alichagua watu wabovu bali information alizokuwa nazo alifanya maamuzi nazo pengine ingelikuwa vizuri waajiri wa tanzania wawe na information bureau kwa wafanyakazi kwamba unapoomba kazi uwe unawekewa na track record reports hii itasaidia kuondoa watendaji wabovu.

Tatu mnavigezo gani ambavyo vinasema watendaji wake ni wabovu. Is it wabovu au wanatamaa maana kuna tofauti baina ya watendaji wabovu kwa mtazamo wangu ni watendaji wabovu ni kuwa ni watendaji hawajui wanachokifanya na kimo ni hivyo mama yangu Tanzania imeoza kwani kuanzia BOT hadi Bandari hadi katika banks wanawatu wa ajabu. Kama ni watendaji wenye Tamaaa ndio kabisa sina usemi!!!!Kiufupi fatilia magazeti na kesi zilizopo mahakamani utapata jibu.

Sasa tuje Tanesco je hao watendaji ni wabovu au wanatamaa????
 
Kuhusu umeme je Tanesco wameshindwa kazi au wamekwama??? Na serikali imewasaidiaje?? na wao wamejisaidiaje?? Unapopewa kitengo kuna challenges unaweza kukutana nazo nazo ni either foreseable challenge and unforeseable ones. Likewise, challenge zengine unaweza kuzitekeleza wewe na nyengine ziko beyond your reach???

Nyie mnataka Rashid awaletee mvua kwani yeye amekua mungu!!!! halafu mnalalamika umeme hamna kwani yeye ndie anayeleta mvua na maji katika mito mbona mnakuwa unrealistic jamani???
 
Tuweni wakweli badala ya kuwa mnaleta blah blah hapa

Mdondoaji kuwa mkweli kwa kuijibu hii hoja, "Tumtoe Rashid Tanesco?!, sisi ni nani?. Sababu moja kubwa ni kuwa Dr.Rashidi muda wake Tanesco umekwisha 30/11/2009. Kuanzia tarehe 01/Dec.2009, Dr. Rashid analikizo ya lazima ya kustaafu ya siku 28 mpaka 31/12/2009. Mkurugenzi Mkuu Mtendaji mpya wa Tanesco anatakiwa kuripoti kazini tarehe 02/01/2010".

Jamaa si ni muda wake kuhalali umekwisha?. Unataka aongezewe mpaka ajifilie Tenesco, haya kazi nzuri kafanya, nyuma nzuri pia kapata, mwache akapumzike ili pia apate muda wa kuimarisha ile biashara aliokopea zile dola 600,000 toka kwa mzee wa vijisenti, kuna ubaya hapo?.
 
Back
Top Bottom