- Thread starter
- #501
Mdondoaji kuwa mkweli kwa kuijibu hii hoja, "Tumtoe Rashid Tanesco?!, sisi ni nani?. Sababu moja kubwa ni kuwa Dr.Rashidi muda wake Tanesco umekwisha 30/11/2009. Kuanzia tarehe 01/Dec.2009, Dr. Rashid analikizo ya lazima ya kustaafu ya siku 28 mpaka 31/12/2009. Mkurugenzi Mkuu Mtendaji mpya wa Tanesco anatakiwa kuripoti kazini tarehe 02/01/2010".
Jamaa si ni muda wake kuhalali umekwisha?. Unataka aongezewe mpaka ajifilie Tenesco, haya kazi nzuri kafanya, nyuma nzuri pia kapata, mwache akapumzike ili pia apate muda wa kuimarisha ile biashara aliokopea zile dola 600,000 toka kwa mzee wa vijisenti, kuna ubaya hapo?.
Pasco nakubali muda wake umeisha sikatai kuna kurudishwa ofisini au kutolewa kabisa but huyu mzee ni mtu makini kwa hili mie siko pamoja na nyinyi. Na pia mzee muda ukiisha na usiishe mtu huweza kuongezewa contract ya mwaka mmoja au mitatu kutokana na umuhimu wake ndani ya shirika. Lakini kusema aondoka hatufai nyie kama nani???
Na pia kuna kikundi cha watu kinasema public opinion imesema wapi?? mnadai Rashidi alikuwa hana ethics kuna ethics gani ??? wizarani katibu mkuu inasemekana yuko karibu au anatembea na mkurugenzi mmoja wa fedha pana ethics za kikazi??? mie mjadala wangu sio idrissa tu wengine je wakoje???