TANESCO: Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kuhusishwa na athari za mafuriko ya Kibiti na Rufiji ni kupotosha Umma

Mlisema bwawa linachelewa mnataka umeme saizi mnageuka kama Mange 😆😆
Haya mkamsaidie kumjibu mange awaache uchi maana nyote sio wasafi ndio maana mnaogopa sasa nyinyi ni chawa wa vipi muonyesheni mange bwawa, barabara ,hospital na mafuriko yote hayo ni mafanikio ya mama ndani ya miaka mitatu!
 
Mimi na mambo ya Mange wapi na wapi? Huwa si like Wala ku follow account za kipuuzi
 
Safi sana,kuna watu watasema ni siasa,ika huu ndo ukweli,safi na pongezi kwa mashirika
Nimrsikiliza redioni leo, kuwa maji yalikuwa mengi kwenye bwawa,hali iliyohatarisha uhai wa kuta zake, hivyo wakaona njia pekee ni kuyafungulia yatoke nje, hence kilichotokea,walinidanganya sio?
 
Kwa akili Yako elnino ipo Kila siku?
1. Kwa akili yako elnino hivyo haijawahi kuja Kwa miaka 2023 tangu baada ya Yesu ila Mwaka huu tu?

2. Umewahi kuisikia Murphy's law? Au ni kukuruka tu?

3 Hivi mwatuona he nyie? Mwadhani mtaepuka kuwajibijika na janga hili Kwa ujanja ujanja uchwara Kama huu tu; dhidi ya maisha na Mali za watu?
 
Huwa siwaamini TANESCO.......kuanzia Richmond,Tegeta escrow ,songas na hili bwawa lao la rufiji...
Watupe taarifa kama mgao umeisha au Bado Kuna maboresho!!!
 
Mkuu wewe unamlaumu nani katika hili janga, ni serikali ya Samia au marehemu Magufuli?
 
Rufiji suala la mafuriko hata sio mwaka huu tu,labda kama kuna namna bwawa limechangia lkn mara nyingi sana mafuriko hutokea
 
Haya mkamsaidie kumjibu mange awaache uchi maana nyote sio wasafi ndio maana mnaogopa sasa nyinyi ni chawa wa vipi muonyesheni mange bwawa, barabara ,hospital na mafuriko yote hayo ni mafanikio ya mama ndani ya miaka mitatu!
Hivi yale mafuriko ya Arusha nayo yamesababishwa na TANESCO?
 
UNESCO na WWF waliwashaonya juu ya hili na madhara mengne meng lakini kwakuwa NEMC na TANESCO wote ni sauti moja ya CCM mkajibariki wenyewe under the aura of a go-ahead given by the dubious Environmental Impact Assesment.

Sasa saiz tena mnataka kukwepa lawama badala ya kuleta solution mnatumia nguvu nying kushift blames..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…