Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Peleka KyelaINAMAANA BIASHARA YANGU YA SOLAR NA MAJENERETA INAENDA KUDROP, DAAH! YOTE MAISHA TU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka KyelaINAMAANA BIASHARA YANGU YA SOLAR NA MAJENERETA INAENDA KUDROP, DAAH! YOTE MAISHA TU
Inamaana kyela mgao unaendelea kumbe basi sawa Acha nifungashe virago niwahi fursaPeleka Kyela
Kumbe ni Dar tuu,hii haituhusu wa mikoani.Msemaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Kenneth Boymanda amesema kuwa kwa jiji la Dar es Salaam kuanzia leo Ijumaa ya FEBRUARI 23 hakutakuwa tena na mgao wa umeme. Ameyasema hayo wakati akihojiwa na kipindi cha GOOD MORNING kinachorushwa na kituo cha redio cha WASAFI FM asubuhi hii.
Wasafi fm 🐼
Aliposemea 🐼😂Sio wasafi waliosema ni msemaji wa Tanesco
Msemaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Kenneth Boymanda amesema kuwa kwa jiji la Dar es Salaam kuanzia leo Ijumaa ya Februari 23 hakutakuwa tena na mgao wa umeme. Ameyasema hayo wakati akihojiwa na kipindi cha GOOD MORNING kinachorushwa na kituo cha redio cha WASAFI FM asubuhi hii.
Chadema wanahusikaje, ndio walioleta mgao?chadema hawaamini macho yao
ni wapinzani wa kila lenye tija kwa taifaChadema wanahusikaje, ndio walioleta mgao?
WasafiHalafu wakikata tukashtaki wapi?
Tija unaijua wewe?.Acha kujichekesha chekesha na kauli zakujifariji.Yanawashinda mnasingizia wapinzani.ni wapinzani wa kila lenye tija kwa taifa