TANESCO: Dar es Salaam kuanzia leo Februari 23 hakutakuwa na mgawo

Kumbe ni Dar tuu,hii haituhusu wa mikoani.
 

Huku namtumbo tutakoma.
 

TATIZO LA TANESCO WANAONGEA SANA KULIKO VITENDO
WANGESUBIRI TU HATA WIKI MBILI WAONE MAENDELEO NDIO WATANGAZE.....KWANI WATU SI WATAONA TU KUWA HAUKATIKI KATIKI. Kuna kitu wanatakiwa wajifunze huko private sector wanavyotoa taarifa
 
Kuna wakati upungufu wa mafuta ya 'taa' ulionekana kana ndio wakati wa Yesu kurudi.

Leo hii mabwawa ya maji yakipungua maji, jehanamu linaonekana mawinguni.


I urge you to reflect. Whether it's mafuta ya taa, or Water and so on, our choices shape our energy future.

Manage your earthly blessings and seek sustainable solutions

Kumbukeni, hata kwenye kiza kinene, kuna uwezekano(there's potential for innovation and renewal). ~Syllo
 
Dar Es Salaam gani hiyo ambayo Mheshimiwa alikuwa anaizungumzia?

Tusije tukawa tunalaumu bure tu kuwa Kiwalani umeme umekatika sababu ya mgao tukijua nayo ipo Dar Es Salaam kumbe viongozi hawaitambui Kiwalani kama sehemu ya dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…