TANESCO Geita muwe serious kidogo

TANESCO Geita muwe serious kidogo

F4B

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
336
Reaction score
429
Nimetembelea Kijiji fulani huko mkoa wa Geita nimekumbana na shida ya umeme. Wenyeji wanasema Transformer lao limeharibika siku kadhaa sasa.

Kijiji kizima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo.

Ndugu zangu TANESCO mje kurekebisha hitilafu ikitokea wananchi wanateseka.
 
Kijiji kIzima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo.

Nazani sasa watakuwa wamepata ujumbe
 
Nimetembelea Kijiji fulani huko mkoa wa Geita nimekumbana na shida ya umeme. Wenyeji wanasema Transformer lao limeharibika siku kadhaa sasa.

Kijiji kIzima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo.

Ndugu zangu TANESCO mje kurekebisha hitilafu ikitokea wananchi wanateseka.
TANESCO popote nchi hii hawapo serious🤔
 
Pamoja na zoezi Muhimu la kitaifa la sensa linaloendelea lkn TANESCO hawako serious
 
Nimetembelea Kijiji fulani huko mkoa wa Geita nimekumbana na shida ya umeme. Wenyeji wanasema Transformer lao limeharibika siku kadhaa sasa.

Kijiji kizima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo.

Ndugu zangu TANESCO mje kurekebisha hitilafu ikitokea wananchi wanateseka.
Kijiji fulani ndio wapi. Unatakiwa utaje kijiji husika
 
Nimetembelea Kijiji fulani huko mkoa wa Geita nimekumbana na shida ya umeme. Wenyeji wanasema Transformer lao limeharibika siku kadhaa sasa.

Kijiji kizima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo.

Ndugu zangu TANESCO mje kurekebisha hitilafu ikitokea wananchi wanateseka.
Ndugu mteja

Tafadhali tujilishe
Eneo

Wilaya

Simu

Kwa hatua zaidi
 
Back
Top Bottom