Nazani sasa watakuwa wamepata ujumbeNimetembelea Kijiji fulani huko mkoa wa Geita nimekumbana na shida ya umeme. Wenyeji wanasema Transformer lao limeharibika siku kadhaa sasa.
Kijiji kIzima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo.
Ndugu zangu TANESCO mje kurekebisha hitilafu ikitokea wananchi wanateseka.
TANESCO popote nchi hii hawapo serious🤔Nimetembelea Kijiji fulani huko mkoa wa Geita nimekumbana na shida ya umeme. Wenyeji wanasema Transformer lao limeharibika siku kadhaa sasa.
Kijiji kIzima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo.
Ndugu zangu TANESCO mje kurekebisha hitilafu ikitokea wananchi wanateseka.
Kijiji fulani ndio wapi. Unatakiwa utaje kijiji husikaNimetembelea Kijiji fulani huko mkoa wa Geita nimekumbana na shida ya umeme. Wenyeji wanasema Transformer lao limeharibika siku kadhaa sasa.
Kijiji kizima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo.
Ndugu zangu TANESCO mje kurekebisha hitilafu ikitokea wananchi wanateseka.
Ndugu mtejaNimetembelea Kijiji fulani huko mkoa wa Geita nimekumbana na shida ya umeme. Wenyeji wanasema Transformer lao limeharibika siku kadhaa sasa.
Kijiji kizima hakina umeme hadi nilivyoondoka leo.
Ndugu zangu TANESCO mje kurekebisha hitilafu ikitokea wananchi wanateseka.