Nipo Morogoro Pia Hakunawapi hiyo mkuu?
Inamaana umekatika nchini kote 😁Nipo Morogoro Pia Hakuna
bro kwani we upo wapi😂 mwanza huku hakunaInamaana umekatika nchini kote 😁
Hii Inaonekana Sehemu Kubwa Ya TanzaniaUyole Mbeya Umeme hamna
Kijana aliyekamatwa kwa kupokea mamilioni ya fedha kila mwezi yasemekana katoroka na umeme wa nchi nzima.Waungwana je huko kwenu kuna umeme? wapi ulipo?
Maana sisi maeneo ya Ilala, Sinza, Dodoma, Tarime kote ripoti ni hakuna umeme,
Nini itakua sababu?
Nikajua labda ni huku kwangu tu, kumbe mpaka huko Daslam umekata !Waungwana je huko kwenu kuna umeme? wapi ulipo?
Maana sisi maeneo ya Ilala, Sinza, Dodoma, Tarime kote ripoti ni hakuna umeme,
Nini itakua sababu?