TANESCO: Gridi ya Taifa yapata hitilafu. Umeme wakatika nchi nzima - Juni 27, 2026

TANESCO: Gridi ya Taifa yapata hitilafu. Umeme wakatika nchi nzima - Juni 27, 2026

Hakuna atakae poteza kazi, hakuna atakayelalamikiwa, hakuna atakayechapwa fimbo!
Kama ikulu, kwa viongozi wetu mabilionea wanapata nishati kwa njia mbadala, sisi maskini na WANYONGE tuna haki ya kulalamika?!
Afrika afrika afrika....😢😢😢😢😢
 
Back
Top Bottom