Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Watakuwa tayari teleported hadi akhera sebuleni.Dadeki ukirudi watu kadhaa hawajulikani walipo
Watakuwa tayari teleported hadi akhera sebuleni.Dadeki ukirudi watu kadhaa hawajulikani walipo
Kisa nini?Jiandae kisaikolojia.Umeanza umeme,inafuata intaneti halafu wanamalizia redio/teevee.
Ya kuuwasha mwenge au wafanye yale ya Bwana alitoa na Bwana ametwaa?JWTZ majasiri wachukue fursa
Mtaa gani? Nipo liwale piaNiko Liwale-lindi,hakuna umeme huku
Imeandikwa usishuudie uongoNimejaribu kupeleleza Kuna FUSO saba zina twiga zaidi ya 10 zinaingia Kilimanjaro international airport muda huu kuelekea middle east. Bado nafuatilia kwa ushahidi zaidi..
Si walisema umeme wa Chuga unatokea Kenya?chuga hamna stima
Wewe magomeni mapipa imekuwa liwale??Mtaa gani? Nipo liwale pia
Unauchosha mnoo mwili na akili kwa kukesha mitandaoni kupokea mamilioni ya mabeberu kila mwezi.Kisa nini?
Sidhani kama nishawahi fika MapipaWewe magomeni mapipa imekuwa liwale??
Bwawa la Nyerere limeibwa na Wakenya mchana wa leo.Kituko sana !!! Nchi nzima hakuna umeme so operation za uzalishaji Kwa Taifa zinaendeleaje !?? 😁😁😁
Kweli ccm oyeee
Naona mikopo ya walimu inakuchanganyaUnauchosha mnoo mwili na akili kwa kukesha mitandaoni kupokea mamilioni ya mabeberu kila mwezi.
Pole na vumbi mkuu🥲Uyole Mbeya Umeme hamna
Niko kiangara mkuu!!Mtaa gani? Nipo liwale pia