digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,508
- 23,368
Mmhh,Mimi siogopi mkuu,ukifika kiangara shule ya sekondari wewe nijulishe tu nitatokea,maana walimu wote hapa tunaishi kwa nyumba za shuleNyumba namba ngapi wazee wa kazi tuje
Mmhh,Mimi siogopi mkuu,ukifika kiangara shule ya sekondari wewe nijulishe tu nitatokea,maana walimu wote hapa tunaishi kwa nyumba za shuleNyumba namba ngapi wazee wa kazi tuje
Wewe si mwalimu wa jiografiaMimi?Mwalimu?Ualimu na mimi wapi na wapi kibaka mimi?
Nakutania mkuuMmhh,Mimi siogopi mkuu,ukifika kiangara shule ya sekondari wewe nijulishe tu nitatokea,maana walimu wote hapa tunaishi kwa nyumba za shule
Karibu kianga sekondari,kata ya kiangara tarafa ya kibutuka!!Nakutania mkuu
Banana republic, bongo tambarare, ukitaka urudi sema CHADEMA WAMEVAMIA IKULU!Dah yaani umeme unakata ndo wanatangaza mbona sielewi?
Sgr inatumia umeme wa moja kwa moja au kwa kuchaji?SGR jamani waliokua mid safari inakuaje
Wao wanasema inacharge ila mbona safari hazipo na last time lilismamaSgr inatumia umeme wa moja kwa moja au kwa kuchaji?
Safari hazipo kivipiWao wanasema inacharge ila mbona safari hazipo na last time lilismama
Kwangu toka nazaliwa! Miaka ya late 60s!Hili swala.la.umeme kukatika linakera sana aise..Kama tupo miaka ya 2000
Tunaongozwa na wahalifu shitukeni.Waungwana je huko kwenu kuna umeme? wapi ulipo?
Maana sisi maeneo ya Ilala, Sinza, Dodoma, Tarime kote ripoti ni hakuna umeme,
Nini itakua sababu?
=====
TANESCO wanasema hivi:
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuwa leo, tarehe 27 Juni 2026, majira ya saa 01:00 usiku, kumetokea hitilafu ya kiufundi katika Mfumo wa Gridi ya umeme ya Taifa, hali iliyosababisha mikoa yote inayopata huduma ya umeme kupitia Gridi ya Taifa kukosa huduma hiyo.
Wataalamu wetu wanandelea na jitihada za kurejesha huduma ya umeme kwa awamu katika maeneo yaliyoathirika.
Soma Pia: TANESCO: Kuna hitilafu kwenye gridi ya taifa iliyosababisha kukosekana kwa umeme
Shirika linawaomba radhi wateja wake na wananchi kwa usumbufu uliojitokeza na linawashukuru kwa uvumilivu wao wakati jitihada za kurejesha huduma zikiendelea.
Haha nachajia simu na laptop hapa
Just imagine 😢😢Kwangu toka nazaliwa! Miaka ya late 60s!