Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,739
- 7,444
Hapa karibu na Bank ya crdb na hiki kiofisi cha madini mbele Kuna godown kubwa linajengwaMtaa gani? Nipo liwale pia
Hapa karibu na Bank ya crdb na hiki kiofisi cha madini mbele Kuna godown kubwa linajengwaMtaa gani? Nipo liwale pia
Duh mkuu mwaka 60's ulikuwepo! Kwahiyo hapa unAperuzi huku una miwani?Kwangu toka nazaliwa! Miaka ya late 60s!
TunakujaHapa karibu na Bank ya crdb na hiki kiofisi cha madini mbele Kuna godown kubwa linajengwa
Ephen Unachekesha ujue😂😂Sgr inatumia umeme wa moja kwa moja au kwa kuchaji?
Nimeshangaa wote mmecheka kwani nimekosea wapi?Ephen Unachekesha ujue😂😂
Issue hasa ni nini ukiachana na porojo?Banana republic, bongo tambarare, ukitaka urudi sema CHADEMA WAMEVAMIA IKILU!
Naelekea kwenye hii Bar ya Das utanikutaTunakuja
Sasa unachaji vp SGR? Phizikia hukuingia darasani?Nimeshangaa wote mmecheka kwani nimekosea wapi?
Hiyo mikoa 3 ndiyo imekuwa nchi nzima?🤔Sema uko wapi
Mpaka sasa tabora,mwanza, dar es salaam
Confirmed
Sina akili za science, mimi porojo tuSasa unachaji vp SGR? Phizikia hukuingia darasani?
Ni aibu kubwa Sana ,national wide blackout shouldn't happen in this age anywhere ,ndio ufala wa kuongozwa na chama cha mataahira ccmHii ndiyo maana ya nchi maskini sana.
Kuna nchi huwa inaweza kupita hata miaka 10 bila ya umeme kukatika hata kwa dakika 10.