Mabeberu wanatuhujumu, tuilinde amani .Kituko sana !!! Nchi nzima hakuna umeme so operation za uzalishaji Kwa Taifa zinaendeleaje !?? 😁😁😁
Kweli ccm oyeee
Amani ni bora kuliko umeme.
Mabeberu wanatuhujumu, tuilinde amani .Kituko sana !!! Nchi nzima hakuna umeme so operation za uzalishaji Kwa Taifa zinaendeleaje !?? 😁😁😁
Kweli ccm oyeee
Ni kweli nimewakopesha sana hadi najuta.Naona mikopo ya walimu inakuchanganya
Nilikuwa nakuona saana paleSidhani kama nishawahi fika Mapipa
😄😄😄 Unaweza kudhani masihara but Kwa this gov Hilo linawezekana kabisa yaaaniBwawa la Nyerere limeibwa na Wakenya mchana wa leo.
I see 😄Mabeberu wanatuhujumu, tuilinde amani .
Amani ni bora kuliko umeme.
Pumbavu zenu tunajua mnatufanyia michezo kenge ninyi ,mtakiona cha moto tarehe sabaWaungwana je huko kwenu kuna umeme? wapi ulipo?
Maana sisi maeneo ya Ilala, Sinza, Dodoma, Tarime kote ripoti ni hakuna umeme,
Nini itakua sababu?
=====
TANESCO wanasema hivi:
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuwa leo, tarehe 27 Juni 2026, majira ya saa 01:00 usiku, kumetokea hitilafu ya kiufundi katika Mfumo wa Gridi ya umeme ya Taifa, hali iliyosababisha mikoa yote inayopata huduma ya umeme kupitia Gridi ya Taifa kukosa huduma hiyo.
Wataalamu wetu wanandelea na jitihada za kurejesha huduma ya umeme kwa awamu katika maeneo yaliyoathirika.
Soma Pia: TANESCO: Kuna hitilafu kwenye gridi ya taifa iliyosababisha kukosekana kwa umeme
Shirika linawaomba radhi wateja wake na wananchi kwa usumbufu uliojitokeza na linawashukuru kwa uvumilivu wao wakati jitihada za kurejesha huduma zikiendelea.
PossibleNadhani itakuwa ni robo tatu ya mikoa yote kama siyo taifa zima kabisa wamekata umeme.
Nyumba namba ngapi, nataka kujaNiko kiangara mkuu!!
Mwalimu hela ya kukopeshA unatoa wapiNi kweli nimewakopesha sana hadi najuta.
Kiangara sekondari mkuu!!!Nyumba namba ngapi, nataka kuja
Sema kweliNilikuwa nakuona saana pale
Nyumba namba ngapi wazee wa kazi tujeKiangara sekondari mkuu!!!
Pegea yeye makofe...😀Jiandae kisaikolojia.Umeanza umeme,inafuata intaneti halafu wanamalizia redio/teevee.
Mimi?Mwalimu?Ualimu na mimi wapi na wapi kibaka mimi?Mwalimu hela ya kukopeshA unatoa wapi