figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kumetokea hitilafu katika gridi ya taifa, hali iliyosababisha mikoa yote inayohudumiwa na gridi kukosa umeme, na kwamba inaendelea na jitihada za kurejesha huduma hiyo.
MY TAKE
Dalili ya Nchi Masikini, Transfoma ikilipuka Ubungo Dar Esalaam, Kigoma wanakosa umeme.
Najiuliza siku nchi iingie vitani then Drone ilipue kituo cha Ubungo, ilipue tanki la maji Ruvu juu/Chini ni nini kitatokea..
Nchi ipo gizani kwa uzembe wa watu wachache