Hakuna umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa Umeme na gridi ya Taifa, kumetokea hitlafu kwenye mfumo wa gridi - Agosti 2019

Hakuna umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa Umeme na gridi ya Taifa, kumetokea hitlafu kwenye mfumo wa gridi - Agosti 2019

Kumekucha Siku Nyingine Mwezi Mwingine Tarehe 01.08.019 Ila Sasa Kukiwa Kimya Hasa Huduma Ya Umeme Baadhi Ya Maeneo Ya Jiji Niliyopita Asubuhi Hii

Buza, Davis Corner, Kariakoo, Upanga
Nimeona Huduma Hakuna Tena Jiji Likiwa Ukiwa Mtupu

=====


SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

Agosti 01, 2019

TAARIFA KWA WATEJA WETU WA MIKOA ILIYOUNGANISHWA NA GRIDI YA TAIFA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kuwa imetokea hitlafu kwenye mfumo wetu wa gridi ya Taifa Saa 12: 06 Asubuhi na kusababisha Wateja wetu wa Mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kukosa huduma ya umeme.

Wataalamu wetu na mafundi wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya umeme inarejea kwa haraka.

Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.

*Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza*

Kwa mawasiliano
Kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100

IMETOLEWA NA:

OFISI YA UHUSIANO

TANESCO MAKAO MAKUU
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*

*Agosti 01, 2019*

*TAARIFA YA KUREJEA KWA UMEME*

Tunawataarifu Wateja wetu wa Mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kuwa umeme umerejea katika Mikoa ya Dar es salaam, Morogoro Dodoma na Tanga.

Jtiihada zinaendelea kuhakikisha Mikoa yote inapata huduma ya umeme kwa haraka.

Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.

*Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza*

*Kwa mawasiliano*
Kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100

Tovuti: www.tanesco.co.tz,

*Mitandao ya kijamii*

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

*IMETOLEWA NA:*

OFISI YA UHUSIANO

TANESCO MAKAO MAKUU
 
Naomba kuuliza zile unit za umeme zinazotolewa mara tu mita inapofungwa hua zinalipwa kwa utaratbu upi?
 
Sisi kwetu tulishazoea hali hii ambayo inatokea usiku wa manane- mida ya vibaka!
 
Vikombe Bado Vichafu
Mpaka Sasa Hivi Tutumie Foma Gold Kuing'arisha
 
January, February, March, April, May, June
01.02.2022
 
Kumekucha Siku Nyingine Mwezi Mwingine Tarehe 01.08.019 Ila Sasa Kukiwa Kimya Hasa Huduma Ya Umeme Baadhi Ya Maeneo Ya Jiji Niliyopita Asubuhi Hii

Buza, Davis Corner, Kariakoo, Upanga
Nimeona Huduma Hakuna Tena Jiji Likiwa Ukiwa Mtupu

=====


SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

Agosti 01, 2019

TAARIFA KWA WATEJA WETU WA MIKOA ILIYOUNGANISHWA NA GRIDI YA TAIFA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kuwa imetokea hitlafu kwenye mfumo wetu wa gridi ya Taifa Saa 12: 06 Asubuhi na kusababisha Wateja wetu wa Mikoa iliyounganishwa na gridi ya Taifa kukosa huduma ya umeme.

Wataalamu wetu na mafundi wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya umeme inarejea kwa haraka.

Tutaendelea kutoa taarifa zaidi.

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza

Kwa mawasiliano
Kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100

IMETOLEWA NA:

OFISI YA UHUSIANO

TANESCO MAKAO MAKUU
na kifaa mpaka kiagizwe Urusi
 
Back
Top Bottom