Hakuna umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa Umeme na gridi ya Taifa, kumetokea hitlafu kwenye mfumo wa gridi - Agosti 2019

Duuh hayo huwa yanafanyika Mwanza tu huku kwetu sijawahi kuyaona. Limekuwa jambo la kawaida wanakata umeme saa tatu na kurudisha saa kumi na mbili jioni bila maelezo yoyote
Ni wapi huko mkuu maana huu utaratibu wa kutoa taarifa nadhani ni waziri aliwaagiza sasa kama watakuwa hawanyi hivyo ni kama wanapingana na boss wao kweupe.
 
Duuh hayo huwa yanafanyika Mwanza tu huku kwetu sijawahi kuyaona. Limekuwa jambo la kawaida wanakata umeme saa tatu na kurudisha saa kumi na mbili jioni bila maelezo yoyote
Ni wapi huko mkuu maana haya maagizo ya kutoa taarifa nadhani ni boss wao waziri aliwaagiza sasa kama watakuwa hawafanyie ni kama wanakiuka maagizo halali ya boss wao hivyo wanastahili adhabu.
 
Duuh hayo huwa yanafanyika Mwanza tu huku kwetu sijawahi kuyaona. Limekuwa jambo la kawaida wanakata umeme saa tatu na kurudisha saa kumi na mbili jioni bila maelezo yoyote
Unaishi mkoa gani bibie ?
 
Duuh hayo huwa yanafanyika Mwanza tu huku kwetu sijawahi kuyaona. Limekuwa jambo la kawaida wanakata umeme saa tatu na kurudisha saa kumi na mbili jioni bila maelezo yoyote

Hama huko
 
Back
Top Bottom