Leo hatuendi kazini tushapata sababu ya kutokwenda mjini kwa sie tufanyao kazi ukoKama nawaona wakazi wa Dar ambao hawajapiga pasi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Tushapata sababu,mkuu wangu akinipigia simu namjibu mkuu wangu amekataza kuja mjini bila kupiga pasi nguoLeo hakuna kwenda Mjini
Kwa hiyo umeahirisha kwenda job leo ? 😄Nimeamka nataka nipige nguo pasi nimekuta hamna umeme, ni kweli
Duuh hayo huwa yanafanyika Mwanza tu huku kwetu sijawahi kuyaona. Limekuwa jambo la kawaida wanakata umeme saa tatu na kurudisha saa kumi na mbili jioni bila maelezo yoyoteNaona Mwanza umesharudi, kwa kweli tanesco wanastahili pongezi. Siku hizi kabla ya kukata umeme huwa wanatoa taarifa na ukikatika sababu ya hitilafu wanatoa taaria na baada ya muda mfupi unarudi kitu ambacho hatukukizoea, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tatizo la tanesco ni kuwa na kasi ndogo ya usambazaji umeme katika maeneo mbalimbali ya nchi, ucheleweshaji wa kuunganishia wateja wapya huduma ya umeme na mara nyingi hawatoi sababu yenye kueleweka kitu ambacho kinachochea mazingira ya rushwa. Wakijirekebisha kwenye hili au akitokea kiongozi mwenye kuimaliza hii kero tanesco itakuwa ni moja ya shirika bora la uma kuwahi kutokea kwenye nchi hii.
Sio huko tu mkuu, hata mikoa yote ya kusini hakuna umeme tangu usiku wa manane.[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Hata lake zone huku jiji kuu Giza tu
Kwani umeingia chumbani kwake ukakuta hakuna giza?[emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji28]Giza saa mbili asubihi??!!mnaishi sehemu za ajabu nyieeeeh duuh
Sio nchi nzima Mkuu, Dodoma upoMkuu hii huduma imekatika nchi nzima sio Dar tu. Nayashangaa ******* haya watu wanapata hasara lakini yenyewe yametunisha macho tu kama chura aliyebanwa na mlango.[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
Safi kabisa. Hadi watu wakose maji ya kuoga wake nyumbani tu[emoji32][emoji32][emoji32]Maendeleo hayana chama. Hongera awamu ya tano. Hali iendelee hivi hivi hadi mkutano wa SADC uishe.