Sasa Hata Kwenye SimuHata kwenye simu yangu hakuna umeme.
Sasa Hivi Tanzania YoteMorogoro umerudi, vip kwenu huko?
Nenda Kawashe HukoHapa DONGOBESH hakuna umeme
UnatokaAnaupiga mwingi sio
Kwenye simu yangu unavunjika na kurudi.Morogoro umerudi, vip kwenu huko?
Duh kwa style hii namba za nida zitasomeka kweli 😊
Bado aseeNenda Kawashe Huko
Picha?Nimejaribu kupeleleza Kuna FUSO saba zina twiga zaidi ya 10 zinaingia Kilimanjaro international airport muda huu kuelekea middle east. Bado nafuatilia kwa ushahidi zaidi..
Huku UmerudiBado asee
Umeme usirudiHuku Umerudi
Mara Nyingi Huwa Inachukua Muda Sana Maana Ni Nchi Yote Wanaunga Mkoa Mmoja Mmoja Mpaka Yote Iishe
Safi kabisaZanzibar Giza 😵😵
Wanathibitisha kwamba nchi ipo hatarini kama walivyotangaza!!sijajua kiroho imekaaje, maana jana mikutano ya vyama vya siasa imepigwa marufuku kwa muda usiojulikana na leo nchi ikatumbukia gizani
Nipo Morogoro Pia Hakuna
Na hauta kaa usikie fulan katumbuliwa ama kajiuzulu, Umeme unakatikaje nchi nzima na linakua jambo la kawaida. No uwajibikajiWaungwana je huko kwenu kuna umeme? wapi ulipo?
Maana sisi maeneo ya Ilala, Sinza, Dodoma, Tarime kote ripoti ni hakuna umeme,
Nini itakua sababu?
=====
TANESCO wanasema hivi:
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuwa leo, tarehe 27 Juni 2026, majira ya saa 01:00 usiku, kumetokea hitilafu ya kiufundi katika Mfumo wa Gridi ya umeme ya Taifa, hali iliyosababisha mikoa yote inayopata huduma ya umeme kupitia Gridi ya Taifa kukosa huduma hiyo.
Wataalamu wetu wanandelea na jitihada za kurejesha huduma ya umeme kwa awamu katika maeneo yaliyoathirika.
Soma Pia: TANESCO: Kuna hitilafu kwenye gridi ya taifa iliyosababisha kukosekana kwa umeme
Shirika linawaomba radhi wateja wake na wananchi kwa usumbufu uliojitokeza na linawashukuru kwa uvumilivu wao wakati jitihada za kurejesha huduma zikiendelea.