Taarifa kuhusu kukosekana kwa huduma ya umeme, pamoja na mrejesho wa kurejea kwa huduma baada ya matengenezo, zilitolewa kwa umma kupitia njia zetu za mawasiliano. Hata hivyo, ikiwa binafsi hukuzipokea taarifa hizo, tunakushauri ujiunge na makundi yetu ya WhatsApp, ambapo taarifa muhimu na huduma kwa wateja hutolewa saa 24 kwa siku, siku 7 kwa wiki.