TANESCO Hamko serious hata kidogo

TANESCO Hamko serious hata kidogo

Mcheza Piano

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2024
Posts
562
Reaction score
1,339
Nimegundua mita yangu haikati umeme hata unit zikiisha, ni mpya kabisa na imefungwa kwenye nguzo yao ya umeme. Wamefunga mita za nyumba kama 4 kwenye nguzo hiyo, kwahiyo tunatumia vile vi remote ku control.

Sasa baada ya kubaini hitalafu hiyo jana nikaenda kwenye ofisi yao kuripoti, mhudumu niliyemkuta akasema inabidi niandike barua ya malalamiko niombe kubadilishiwa mita.

Nikamuuliza kwani taarifa niliyoileta hajaielewa mpaka niandike barua? Nikamuuliza hajui kama namimi na majukumu mengine, akasema huondio utaratibu.

Nikaondoka zangu. Kwakuwa nimeshatoa taarifa na nilifuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kuandika jina kwenye daftari la wageni kamwe sitarudi.

Mwisho: macho legevu na umbo kisiwe kigezo cha kuajiri.
 
Duh!!! watu duniani wana imani sana. yaani unaenda kuomba kusitishwa huduma ya bure. mimi ningefungua kiwanda hapo
 
Wazalendo kwenye nchi hii bado wapo....aiseee

Kuna watu wanasema kwenye miti hapana wajenzi....hii ni kweli jmn
 
Wee faza ni mzalendo sana aiseeeee
Salut kwako 🙌🙌🙌🙌🙌
 
Mkuu fungua hata ka kiwanda ka kuchakata mbususu.
 
Tanesco nipen msaada MITA yangu imetemper hii ni mara ya pili Sasa umeme unasoma kwenye kirimoti lakini hauwaki MITA namba inaanzia na 24
 
𝚄𝚗𝚊𝚙𝚊𝚜𝚠𝚊 𝚔𝚞𝚊𝚗𝚍𝚒𝚔𝚊 𝚋𝚊𝚛𝚞𝚊 𝚒𝚕𝚒 𝚞𝚠𝚎 𝚞𝚙𝚊𝚗𝚍𝚎 𝚜𝚊𝚕𝚊𝚖𝚊, 𝚓𝚊𝚙𝚘 𝚗𝚒 𝚓𝚞𝚔𝚞𝚖𝚞 𝚕𝚊𝚘 𝚃𝙰𝙽𝙴𝚂𝙲𝙾 𝚔𝚞𝚕𝚒𝚏𝚊𝚗𝚢𝚒𝚊 𝚔𝚊𝚣𝚒 𝚓𝚊𝚖𝚋𝚘 𝚑𝚒𝚕𝚒 𝚑𝚊𝚝𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚞𝚜𝚒𝚗𝚐𝚎𝚊𝚗𝚍𝚒𝚔𝚊 𝚋𝚊𝚛𝚞𝚊, 𝚕𝚊𝚔𝚒𝚗𝚒 𝚞𝚓𝚞𝚎 𝚒𝚙𝚘 𝚜𝚒𝚔𝚞 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚔𝚞𝚐𝚎𝚞𝚣𝚒𝚊 𝚔𝚒𝚋𝚊𝚘 𝚗𝚊 𝚞𝚝𝚊𝚜𝚘𝚖𝚎𝚔𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚖𝚑𝚞𝚓𝚞𝚖𝚞 𝚞𝚌𝚑𝚞𝚖𝚒. 𝙼𝚠𝚒𝚜𝚑𝚘𝚗.... 𝙽𝚊𝚝𝚊𝚖𝚊𝚗𝚒 𝚖𝚊𝚝𝚞𝚜𝚒 𝚢𝚊 𝙼𝚊𝚗𝚐𝚎 𝚊𝚗𝚊𝚢𝚘 𝚠𝚊𝚜𝚑𝚞𝚜𝚑𝚒𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚞 𝚠𝚊𝚜𝚒𝚘 𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚝𝚒𝚊 𝚋𝚊𝚜𝚒 𝚊𝚗𝚐𝚎𝚠𝚊𝚜𝚑𝚞𝚜𝚑𝚒𝚊 𝚑𝚊𝚠𝚊 𝚃𝙰𝙽𝙴𝚂𝙲𝙾
 
Back
Top Bottom