TANESCO hawana uwezo wa kubadili tariff bila kumtaarifu mteja?

TANESCO hawana uwezo wa kubadili tariff bila kumtaarifu mteja?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Tanesco: Naomba niwaulize, katika sheria zenu kuna ibara au kifungu kinaeleza kuwa shirika linauwezo wa kubadilisha tariff ya matumizi ya umeme bila kumtaarifu mteja?

Nimeuliza swali hilo kwasababu kwa kawaida matumizi yetu ndani ya saa 24 ni uniti 10 lakini 08 /09/ 2023 zimetumika uniti 22 ndani ya saa 20?

TANESCO
 
Tanesco: Naomba niwaulize, katika sheria zenu kuna ibara au kifungu kinaeleza kuwa shirika linauwezo wa kubadilisha tariff ya matumizi ya umeme bila kumtaarifu mteja?

Nimeuliza swali hilo kwasababu kwa kawaida matumizi yetu ndani ya saa 24 ni uniti 10 lakini 08 /09/ 2023 zimetumika uniti 22 ndani ya saa 20 ?
Kwahiyo wakibadilisha tariff umeme unaenda sana bila kujali matumizi yako ,au ndo vile ujuaji mwingi hata kwa vitu usivyo vijua?!🤔
 
Sasa kama siku hiyo mlizidisha matumizi
Kiongozi nimeandika nilicho-ishi, matumizi yetu nivilevile hatujaongeza kifaa chochote, usiku toka saa 4 hadi 2 asubuhi kwa kawaida matumizi yetu ni uniti 4.0 lakini jana zimetumika unit 7.1
 
Back
Top Bottom