nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Kwahiyo wakibadilisha tariff umeme unaenda sana bila kujali matumizi yako ,au ndo vile ujuaji mwingi hata kwa vitu usivyo vijua?!🤔Tanesco: Naomba niwaulize, katika sheria zenu kuna ibara au kifungu kinaeleza kuwa shirika linauwezo wa kubadilisha tariff ya matumizi ya umeme bila kumtaarifu mteja?
Nimeuliza swali hilo kwasababu kwa kawaida matumizi yetu ndani ya saa 24 ni uniti 10 lakini 08 /09/ 2023 zimetumika uniti 22 ndani ya saa 20 ?
Watch your mouth bro!, Ulishawahi kupigwa shot ya mdomo..😂MATAPELI tu hao
Kiongozi nimeandika nilicho-ishi, matumizi yetu nivilevile hatujaongeza kifaa chochote, usiku toka saa 4 hadi 2 asubuhi kwa kawaida matumizi yetu ni uniti 4.0 lakini jana zimetumika unit 7.1Sasa kama siku hiyo mlizidisha matumizi
[emoji14][emoji14][emoji14]Watch your mouth bro!, Ulishawahi kupigwa shot ya mdomo..[emoji23]
Kuna tatizo muiteni fundiKiongozi nimeandika nilicho-ishi, matumizi yetu nivilevile hatujaongeza kifaa chochote, usiku toka saa 4 hadi 2 asubuhi kwa kawaida matumizi yetu ni uniti 4.0 lakini jana zimetumika unit 7.1