TANESCO: Hitilafu imesababisha kukosekana kwa umeme Tanga, Arusha na Kilimanjaro

TANESCO: Hitilafu imesababisha kukosekana kwa umeme Tanga, Arusha na Kilimanjaro

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1705441479812.png

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa.

TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa umeme katika Mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha na tayari Timu ya Wataalamu inaendelea na matengenezo yanayotarajiwa kukamilika baada ya siku tano.

“Shirika linawaomba radhi kwa usumbufu unajitokeza”
 
Wazee wa Megawatts na Grid ya Taifa wale wengine utawaona kila kukicha na picha za kichwa cha Treni kikiwa kwenye majaribio...
Bongo sihami aisee...
 
Back
Top Bottom