TANESCO, huku kukata ovyo umeme kutaisha lini?

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Hivi kweli hata huyo Samia karuhusu huo ujinga wa Tanesco kukatakata umeme hovyo namna hii?

Haya, wamekata tena na hakukuwa na taarifa yeyote masikini wa Mungu!

Kumbuka tokea juzi walikata asubuhi na wakarejesha jana jioni ajabu wamekata tena muda huu.

Pumbavu kabisa!
 
Mpaka utakapobadilisha hilo jina lako..😂
 
Wapiga dili wameanza kutengeneza sababu za kubinafsisha hilo shirika, na wanafanya hivyo makusudi wakijua kule juu sasa hakuna wakuwazuia, wote ndugu moja.
 
Hivi kweli hata huyo Samia karuhusu huo ujinga wa Tanesco kukatakata umeme hovyo namna hii?!

Haya,wamekata tena na hakukuwa na taarifa yeyote masikini wa Mungu!

Kumbuka tokea juzi walikata asubuhi na wakarejesha jana jioni ajabu wamekata tena muda huu.

Pumbavu kabisa!
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Wamekata Tena kabindi(biharamulo)

Kama wananchi wote wamekuwa ma-popomaa wanaona ni halali yao kukatiwa umeme na maji unafikiria serikali au viongozi wataacha starehe zao kushughulikia mambo ya ''kijinga'' kama haya? Kila siku mimi huwa nasema: mbwa tabia yake ni jinsi umleavyo. Na viongozi ni hivyo hivyo. Wananchi wasipokuwa wakali na wenyewe wanastarehe. Hebusiku moja wananchi watoke kwa umoja wao wakiwashe nchi isitawalike hata kwa masaa machache halafu uone kama kutatokea tena ujinga kama huu.
 
Acha kunijibu Kama roboti toeni majibu ya kueleweka rudisheni umeme watu wapate chakula jioni.
 
Tuliambiwa mkichagua upinzani hamtaletewa maendeleo,Sasa mpo CCM peke yenu tunategemea Tanzania itakuwa Kama ulaya,Tulieni dawa iwaingie.
 
Acha kunijibu Kama roboti toeni majibu ya kueleweka rudisheni umeme watu wapate chakula jioni.
Tunashukuru, majibu sahihi na fasaha huendana na taaarifa kamili, tafadhali zingatia muongozo wetu
 
Hili shirika limekufa kitambo....ni vizuri watanzania wakaangalia utaratibu mwingine wa maisha na kuzoea kuishi bila umeme wa hawa failures. Hili shirika aibu kubwa sana kwa Taifa miaka nenda rudi ujinga uleule.
Pole mkuu....very irritating....
Waziri yupo..kupiga picha nyingi na vicheko tu...very Sad
 
Kama wananchi wote wamekuwa ma-popomaa wanaona ni halali yao kukatiwa umeme na maji unafikiria serikali au viongozi wataacha starehe zao kushughulikia mambo ya ''kijinga'' kama haya? Kila siku mimi huwa nasema: mbwa tabia yake ni jinsi umleavyo. Na viongozi ni hivyo hivyo. Wananchi wasipokuwa wakali na wenyewe wanastarehe. Hebusiku moja wananchi watoke kwa umoja wao wakiwashe nchi isitawalike hata kwa masaa machache halafu uone kama kutatokea tena ujinga kama huu.

Tunashukuru, majibu sahihi na fasaha huendana na taaarifa kamili, tafadhali zingatia muongozo wetu
Taarifa gani zaidi ya umeme kila siku kukatika. Rudisheni umeme tufanye kazi nyie
 
Sasa sukumagang wameshaondolewa wote ndo walikuwa wanahujumu,kwanini unakatika?.
Heri hii wizara wangempa Yule Eng.Mramba kuliko huu muuza sura.
 
Tunashukuru, majibu sahihi na fasaha huendana na taaarifa kamili, tafadhali zingatia muongozo wetu
Una bahati sikuoni hakika leo ungeniambia. Hamjui umeme ni maisha ya wengine.....hasara mnazotutia Nani anazilipa? Yaani wewe Tena unikome kabisa.
 
Hili shirika limekufa kitambo....ni vizuri watanzania wakaangalia utaratibu mwingine wa maisha na kuzoea kuishi bila umeme wa hawa failures. Hili shirika aibu kubwa sana kwa Taifa miaka nenda rudi ujinga uleule.
Pole mkuu....very irritating....
Waziri yupo..kupiga picha nyingi na vicheko tu...very Sad
Na mapozi Kama ya mtu mwenye busara kumbe zero,ni ujanjaujanja tu.
 
Back
Top Bottom