jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Ndugu mpendwa Mteja wetuHivi kweli hata huyo Samia karuhusu huo ujinga wa Tanesco kukatakata umeme hovyo namna hii?!
Haya,wamekata tena na hakukuwa na taarifa yeyote masikini wa Mungu!
Kumbuka tokea juzi walikata asubuhi na wakarejesha jana jioni ajabu wamekata tena muda huu.
Pumbavu kabisa!
Ndugu mpendwa Mteja wetuWamekata Tena kabindi(biharamulo)
Kama wananchi wote wamekuwa ma-popomaa wanaona ni halali yao kukatiwa umeme na maji unafikiria serikali au viongozi wataacha starehe zao kushughulikia mambo ya ''kijinga'' kama haya? Kila siku mimi huwa nasema: mbwa tabia yake ni jinsi umleavyo. Na viongozi ni hivyo hivyo. Wananchi wasipokuwa wakali na wenyewe wanastarehe. Hebusiku moja wananchi watoke kwa umoja wao wakiwashe nchi isitawalike hata kwa masaa machache halafu uone kama kutatokea tena ujinga kama huu.Hivi kweli hata huyo Samia karuhusu huo ujinga wa Tanesco kukatakata umeme hovyo namna hii?!
Haya,wamekata tena na hakukuwa na taarifa yeyote masikini wa Mungu!
Kumbuka tokea juzi walikata asubuhi na wakarejesha jana jioni ajabu wamekata tena muda huu.
Pumbavu kabisa!
Acha kunijibu Kama roboti toeni majibu ya kueleweka rudisheni umeme watu wapate chakula jioni.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Tuliambiwa mkichagua upinzani hamtaletewa maendeleo,Sasa mpo CCM peke yenu tunategemea Tanzania itakuwa Kama ulaya,Tulieni dawa iwaingie.Hivi kweli hata huyo Samia karuhusu huo ujinga wa Tanesco kukatakata umeme hovyo namna hii?!
Haya,wamekata tena na hakukuwa na taarifa yeyote masikini wa Mungu!
Kumbuka tokea juzi walikata asubuhi na wakarejesha jana jioni ajabu wamekata tena muda huu.
Pumbavu kabisa!
Tunashukuru, majibu sahihi na fasaha huendana na taaarifa kamili, tafadhali zingatia muongozo wetuAcha kunijibu Kama roboti toeni majibu ya kueleweka rudisheni umeme watu wapate chakula jioni.
Kama wananchi wote wamekuwa ma-popomaa wanaona ni halali yao kukatiwa umeme na maji unafikiria serikali au viongozi wataacha starehe zao kushughulikia mambo ya ''kijinga'' kama haya? Kila siku mimi huwa nasema: mbwa tabia yake ni jinsi umleavyo. Na viongozi ni hivyo hivyo. Wananchi wasipokuwa wakali na wenyewe wanastarehe. Hebusiku moja wananchi watoke kwa umoja wao wakiwashe nchi isitawalike hata kwa masaa machache halafu uone kama kutatokea tena ujinga kama huu.
Taarifa gani zaidi ya umeme kila siku kukatika. Rudisheni umeme tufanye kazi nyieTunashukuru, majibu sahihi na fasaha huendana na taaarifa kamili, tafadhali zingatia muongozo wetu
Una bahati sikuoni hakika leo ungeniambia. Hamjui umeme ni maisha ya wengine.....hasara mnazotutia Nani anazilipa? Yaani wewe Tena unikome kabisa.Tunashukuru, majibu sahihi na fasaha huendana na taaarifa kamili, tafadhali zingatia muongozo wetu
Na mapozi Kama ya mtu mwenye busara kumbe zero,ni ujanjaujanja tu.Hili shirika limekufa kitambo....ni vizuri watanzania wakaangalia utaratibu mwingine wa maisha na kuzoea kuishi bila umeme wa hawa failures. Hili shirika aibu kubwa sana kwa Taifa miaka nenda rudi ujinga uleule.
Pole mkuu....very irritating....
Waziri yupo..kupiga picha nyingi na vicheko tu...very Sad