Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Usilale na swali moja kichwani mwako, jikung'ute maswali kibao ya msingi, mbona yapo tu mengi?Ubungo sahivi washakata sijui nalalaje
Jitu linalo fikiria kwa malio utalitambua tu.Dogo Hapo sofan sebuleni kwa shemeji yako Kuna lalika kweli?
Aisei imepiga tumeshutuka hatari..Kuna shoti kubwa sana maeneo ya kimara korogwe hapa imepiga nafkiri mpaka hili transformer lao limeungua baadhi ya vifaa litakua
Mama anamuona Mbowe tu, kama ndio anayemvunjia heshima, haya mengine sijui kwa nini hayaoni kama ni utovu wa heshima kwake na kutokuwajibika na wahusika wanapaswa kachukuliwa hatua, sio kwa kubambikiwa kesi sizizo na ushahidi, la hasha, ushahidi uko wazi!Imekuaje haya mambo enzi za jiwe hayakuwepo. Mama asiwachekee wahusika awawajibishe tu.
Serikali ya CCM ina monopoly ya kila kitu nchini. Na propaganda kuu inayoendelea ni kuwa wazalendo; kuipenda nchi na viongozi wake; kuiamini na kuiunga mkono serikali. Kuachana na “pinga pinga” hasa CHADEMA.Kama wananchi wote wamekuwa ma-popomaa wanaona ni halali yao kukatiwa umeme na maji unafikiria serikali au viongozi wataacha starehe zao kushughulikia mambo ya ''kijinga'' kama haya? Kila siku mimi huwa nasema: mbwa tabia yake ni jinsi umleavyo. Na viongozi ni hivyo hivyo. Wananchi wasipokuwa wakali na wenyewe wanastarehe. Hebusiku moja wananchi watoke kwa umoja wao wakiwashe nchi isitawalike hata kwa masaa machache halafu uone kama kutatokea tena ujinga kama huu.
wamekata tena na leo mkubwaWamekata Tena kabindi(biharamulo)