MUBIKU
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 283
- 384
Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta ya NISHATI.
Kwetu sisi Tanzania imekuwa Tofauti, sekta ya nishati Imekuwa kero na mzigo wa kusumbua wananchi na taifa kiujumla tunacheka nayo na inatumiiza ni muda sasa umefika TANESCO na TPDC wapewe wewekezaji.
Kwetu sisi Tanzania imekuwa Tofauti, sekta ya nishati Imekuwa kero na mzigo wa kusumbua wananchi na taifa kiujumla tunacheka nayo na inatumiiza ni muda sasa umefika TANESCO na TPDC wapewe wewekezaji.